Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

zacha dondosha ya Q-chief ft Ngwea-naanzaje kukuacha- P-funk Majani production kama kawa.

Hii na iwe sindikizo kwa wadau wapenda mziki wenye high quality & creativity bongo
 
zacha dondosha ya Q-chief ft Ngwea-naanzaje kukuacha- P-funk Majani production kama kawa.

Hii na iwe sindikizo kwa wadau wapenda mziki wenye high quality & creativity bongo

Mkuu salaam,

Marco chali ndiye aliyetengenenza hiyo Ngoma.

Mamamia_qchillaVNgwea
 
Mkuu salaam,

Marco chali ndiye aliyetengenenza hiyo Ngoma.

Mamamia_qchillaVNgwea

Sio Mama Mia Mkuu- "naanzaje kukuacha na moyo ushapenda"

Ni R&B moja kali sana Mkuu na production yake ni ya kijanja sana,unaskia kila instruments kama una sound system ya ukweli.
 
Sio Mama Mia Mkuu- "naanzaje kukuacha na moyo ushapenda"

Ni R&B moja kali sana Mkuu na production yake ni ya kijanja sana,unaskia kila instruments kama una sound system ya ukweli.

sawa mkubwa, endelea kufwatilia ntaipandisha hapa!
 
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa
 
Akwelina ulioimbwa na ocg na nature Ni bonge la wimbo na bonge la biti lililotengenezwa na majani na profesa ludigo
 
Nyimbo ni nzuri na waimabji wanajua sana lakini production siyo nzuri kabisa. Sauti haziko balanced, kitaalamu tunasema hazina harmony. Kuna sauti zina nguvu sana kuliko sauti nyingine unproportionately.
 
Ahsante mzazi, nimeshapata playlist for this week "Oldiez"
 
Hauna hoja
yuko wapi sasa..?
wenzie wote wako kwa cabinet ya awamu ya 5
Unayumba mkuu.
Hata kama hayupo ktk cabinet ya awamu ya 5 haiondoi ukweli kwamba hiyo ngoma katengeneza yeye.

Yeye kaweka rekodi sawa, ya nani kafanya nini.
 
Mwenye lile song la mapacha feat ngwair na nuruel linaitwa nipe jibu atupie humu ni kali sana lile linanikumbusha enzi za down town records na d money.
 
Wadau mwenye goma la mapacha feat ngwair na nuruel linaitwa nipe jibu tupia humu ni miongoni mwa ngoma kali sana za hip-hop kuwahi kutokea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…