- Thread starter
- #241
Thanks kwa track japo hizi sio Majani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zacha dondosha ya Q-chief ft Ngwea-naanzaje kukuacha- P-funk Majani production kama kawa.
Hii na iwe sindikizo kwa wadau wapenda mziki wenye high quality & creativity bongo
Mkuu salaam,
Marco chali ndiye aliyetengenenza hiyo Ngoma.
Mamamia_qchillaVNgwea
Sio Mama Mia Mkuu- "naanzaje kukuacha na moyo ushapenda"
Ni R&B moja kali sana Mkuu na production yake ni ya kijanja sana,unaskia kila instruments kama una sound system ya ukweli.
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapaKumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
Ile Mikasi OG, ile remix vile vinanda vya majaniMikasi ni kazi ya Professa Ludigo si Majani
Cnn fid aliomba kurudia kuingiza verse... MaePumzika kwa Amani Albert.... Ulijua sana kucheza na hizi beat za P
Nyimbo ni nzuri na waimabji wanajua sana lakini production siyo nzuri kabisa. Sauti haziko balanced, kitaalamu tunasema hazina harmony. Kuna sauti zina nguvu sana kuliko sauti nyingine unproportionately.View attachment 1190167
Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.
Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga muziki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.
Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
Mkuu nakushukuru sana.................IPO play store..nzuri sana Kaka una play offline any song halafu Kuna mixing nzuri zimetengenezwa na ma DJs
Ahsante mzazi, nimeshapata playlist for this week "Oldiez"View attachment 1190167
Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.
Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga muziki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.
Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
Unayumba mkuu.Hauna hoja
yuko wapi sasa..?
wenzie wote wako kwa cabinet ya awamu ya 5