Ina maana hostel zenyewe hazina vitanda na godoro meza, viti au? Hapo ni hostel au chumba cha mitaani!Karibuni wote, kwa wale wanafunzi wageni ambao mngependa kukaa nje ya Hostel za chuo vyumba vinapatikana kuanzia 35-80, pia ata bidhaa USED kma kitanda, Godoro,Meza, Kiti, nk vinapatikana pia.
Chuo kina facilities za kutosha kwa wanafunzi.Ina maana hostel zenyewe hazina vitanda na godoro meza, viti au? Hapo ni hostel au chumba cha mitaani!
Kwa wenyeji wa hapo chuoni naomba kujua mazingira ya hostel za chuo na za nje na gharama zake pia idadi ya watu kwenye room.Chuo kina facilities za kutosha kwa wanafunzi.
Hiyo ni kwa wale watakaopenda kukaa nje ya hostel za chuo. Pia hostel za chuo mara nyingi zinashindwa kuwachukua wanafunzi wote kutokana na uhaba wa majengo yake.