DON SINYORI
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 511
- 418
unashiriki mchezo gani mkuu?Veep kuhusu mazingira ya kimichezo maana c wengne michezo ndo wanawake zetu
unashiriki mchezo gani mkuu?Veep kuhusu mazingira ya kimichezo maana c wengne michezo ndo wanawake zetu
Huyo shemela wako ucje leta mambo ya kimanifongo mkuuHuyo binti kwenye picha ni mzuri sana.
Mimi nasoma hapa,ni Pm namba yako.Wakuu em tufahamishane kuhusu chu cha muccobs ama muco
Ahaha nisamehe mkuu. Ila kumsifia shemeji si kosa bhana.Huyo shemela wako ucje leta mambo ya kimanifongo mkuu
Hahaha it's a joke mkuu usiogopeAhaha nisamehe mkuu. Ila kumsifia shemeji si kosa bhana.
Ahaha dah angalau! Kizuri lazima kisifiweHahaha it's a joke mkuu usiogope
they are the best in that sport.coz hata imu yao ilifika fainali ya inter universitites za tz mwaka 2014Huyo binti kwenye picha ni mzuri sana.
Ooooh ko na mashindano ya ndan ya chuo ni kama kawathey are the best in that sport.coz hata imu yao ilifika fainali ya inter universitites za tz mwaka 2014
ndio.inter faculties zinachezwa kama kawa and mabonanza pia mengi tuOoooh ko na mashindano ya ndan ya chuo ni kama kawa
Saccos ni vyama vya ushirika wa akiba na mikopo sio kuweka na kukopa....savings and credit cooperative societiesUnajua SACCOS ni nini kweli? VYAMA VYA KUWEKA NA KUKOPA. Sasa rudi upya uulize maswali yako.
Saccos ni vyama vya ushirika wa akiba na mikopo sio kuweka na kukopa....savings and credit cooperative societies
wadau hivi karibuni nitaanza masomo flani hapo chuo cha ushirika Mjini Moshi, kwa sasa nawaomba wanajukwaa wenye maoni, onyo, povu n.k kuhusu chuo hiki maarufu na pendwa waniwekee hapa. wasalaam