Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 3,994
- 5,437
Wadau habari,
Naombeni msaada mnijuze ubora na soko la ajira kwa KOZI zinazotolewa na chuo cha ushirika Moshi hasa ile certificate ya distance learning.
Angalizo:
nimeambiwa tuu sasa naona kabla ya kwenda nipate mtazamo wa watu maana nikienda najua kale kamsemo ka mwamba ngoma huvutia kwake. Kama ntakua nimekosea nisahihishe ila naomba msaada wakujuzwa.