Ubora na bei za tecno smartphones

njoo Nairobi kwenye duka la valid name happy life hats kwa mafundi spare za techno xiko tele
 
Unasema ukweli au unaleta mzaha! Hii kitu nlikuwa nayo nimempa dogo matatizo kibao

unaongea kweli mdau! Bora wewe ulimpa dgo mie ilinifia Mkononi Hata miezi mitatu haina. tangu Wakati huo niliichukia hii kampuni mazima
 
Mimi natumia Techno m7 kwa upande wa charge inajitahidi masaa21 kama cku sina matumizi sana inazidi masaa24
 
Nadhani sasa atakuwa ameshaelimika maana hilo ulilolitoa no somo tosha
 
Juzi niliiona kwa mdau mmoja tecno R7 kwa kweli iko vuzuri, kina samsung Watabaki jina tu
 
kuna ile cjui ndo phantom model nadhani mshkaj wangu aliinunua laki 4, ina specification za kufa mtu njoo kwenye camera ikipiga picha usiku unaweza kucheka mpk basi, ni giza giza tu mwanzo mwisho mpk jamaa ameiuza kwa 120,000
 
Tecno ni simu za kawaida sana na zikisha alibika kupata solutions zake inakua ngumu mm ni fundi simu upande wa hardware hizo simu nazifahamu sana na sio simu za kuzishobokea.
 
Mzee umetisha saaana kula like nyingiiiii, natumia galaxy s3, sio clone bt ukiweka chaji (coz piA ni tatizo) alafu eti ufungue data 3g simu unaweza sema imebaki dakika 3 ilipuke kama nyuklia at the same time nina tecno H6, haaa yaan iko cool mpaka basi itumie uwezavyo, simu haichemki wala kuwaje, izi brand name ndo kinachotuua hapa but simu nyingi especially android phone mwendo ule ule, labda uko ios na nokia ndo nahisi utofaut kingine hizi simu ni ghali sana. Wenye uwezo wacha wanunue lakin sioni cha ziada, ni sawa na laptop mara dell, toshiba, hp, ibm,compaq, samsung nahisi ni mulemule tu, njoon wa apple tuzungumze.
Naomba kuwasilisha
 
ingia kwenye ulimwengu wa R7 inatisha kwa chaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…