Ubora na bei za tecno smartphones


Bei ya kitu pia hulingana na ubora na uwezo wake. Techno is affordable phone. imetengenezwa hivyo kwa ajili hiyo. Sasa kuna simu nyingine zinauwezo zaido na pia ni ghali zaidi.

Simu ghali itakuta zina ram nyingi, uwezo wa kuhifadhi data mkubwa, camera nzuri zaidi, batt inakaa zaidi, screen tech ya juu zaidi na hata ubora.
Kwa hiyo tuwe waelevu tafauti zipo na hapa techno kwa wengi tusiotaka makubwa inafaa 100%.


Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Nunua tu wala hutajuta,ina kila kitu utakachohitaji ktk simu za kisasa
 
We afya yako mgogoro tu bana. Huyu asitake matatizo yake yawe matatizo ya watanzania wote. Mi mwenyewe nna mpango wa kujilipua na hizo gajeti. Ma-compliment yanaonyesha hizo kitu ni hao yong kinoma m2 we2.
 

Weka ubaili pembeni na jichange ununue smartphone za kueleweke zitakazokufanya ufurahie ulimwengu wa smartphone.

Iphone
SAMSUNG
HTC
LG
HUAWEI
G NEXUS
WINDOW PHONES
SONY
 
mkuu inaonekana we ni mchumi kupta maelezo,.kununua 2 cm mpk u2ulze cc,.na mkeo aktaka huduma plz informin' me,.!
 
We kweli wa Pandagichiza! Nokia 1280 ni smart phone au huelewi mada inazungumzia nini?

Kuna uwezekano alikua anamaanisha Nokia 1280 ni bora kulinganisha na Tecno smartphone
 
mbona mabasi yote siku ni ya kichina na mnapanda. Km angekuwa mchina ni bomu wale waliokuwa wanaleta scania wasinge gaili. Techo yupo juu

Mchina ni Mchina tuu,hata akiwa mrefu na macho makubwa,hivi unajua hayo unayosema mabasi ya kichina tunayopanda Engine zake zimetoka wapi,au unaropoka tuu?hapo Mchina yake ni bodi tuu.
 
Nenda kuna dk ka tecno kariakoo wanatoa kila kitu kuhusu tecno hadi technical assistance
 
Hata mie nahitaji kujua ni smart phones ipi bora kati ya hizo tajwa hapo juu! shukruni kwenu
 
Nina D5 natafuta housing mwezi wa tatu sasa spea ngumu
 



Mi natumia tecno S3 nilinunua laki na 30 tu. inapiga mzigo balaa
 
kitu tecno N7 kiboko ya yote ila jipange ina bei kubwa kidg ni sidhani kama toleo hili lilisambaa sana
 
Ebana mnisaidie nimeshindwa kui operate cm yangu aina ya htcT-Mobile g1 99HEWO36-00 Naomb msaada
kwa mwenye ujuz samahani lakini aksanteni,!!!!!!..............
,,,,,,,,,,,,,,,,,:::::::;
 

Lakini mkuu, mara nyingi spea za smartphone ni ngumu kupata au ghali kidogo. Sidhani kama ni tecno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…