Ubishi mwingine!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nikiwa kazini,kuna mchanganya zege mmoja aliletewa picha yake ili ailipie then aichukue.Yule jamaa aliitazama picha kwa umakini mkubwa kisha akairudisha kwa photographer huku akisema kwa hasira,"siwezi kuilipia picha hii kwasababu sura ni yangu lakini miguu iliyoko pichani si yangu".
 
khaaah...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom