Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Wewe usiwe mbishi kwa mfano Instagram kuna insta video ambayo kama simu ya android si version 4 na ram zaidi ya 1GB and upper haisupport.... .

Kuna application kibao huwez ku install ukiwa na android version chini ya 4..

Halaf jiulize TECNO wanatoa UPDATE za firmware yako..???

TECNO HAIPO HATA KWENYE LIST YA GSMARENA......

GSM arena wanafanya review tu. Haimaanishi kampuni zote za simu ambazo hawazifanyii review simu zao ni fake. Mfano Mbona Xiaomi hazipo GSM arena lakini wana high quality smartphones na wanawaumiza kichwa huawei huko china
 
Wazee kwanza tecno ni kampuni ya wahindi na sio wachina kama wengi mnavodhani,
Kampuni hii wakati imeingia Africa iliiga mchezo wa kampuni za kichina kutengeneza low quality products kwan ndo zilizokua kwenye hit but baada ya kuanza tengeneza HD phones baabdae kija kwa android kampuni hii wanatoa vitu bora hakuna japo zinakua zinalack ubora katika screen na display zake,
Moja ya sifa kuu ya tecno wameweza sana swala zima la bettry hapa kampuni zote watasubiri kama uamini tafuta bettry la tecno weka kwenye android ako au hata nokia ya kawaida uone hayo matumizi tumia uwezavyo lakni bado ipo vzr.
Hyo ndo tecno kampuni inayo kua kwa kasi!!!!

Si kweli wahindi ni maagenti wa Techno, pia swala la battery huwez kulinganisha na xiaoomi, nying ya battery za techno ni 3.4v, 3.5v au 4.2v wakati xiaomi wana 5v
 
Si sawa..ila anapata apps karibu zote zinazopatikana kwenye S4,so kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kifedha can go for it.

I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App Zinazofanana

Mtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana.

WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA.

TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
 
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani
 
mkuu tecno sio fake ni low quality phones.

simu fake ni ipi na low quality ni ipi?

fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128

tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.

hope umeelewa

Umejitahidi kutoa maelezo lakini umexhawahi kutumia tecno phantom z au unaxema tu kufaidixha raia
 
Wakuu unapozungumzia feki inamaana ya kampuni Moja imeiga na kutengeneza kitu kinacho fanana vilevile kutoka kampuni ilobuni au kuvumbua bila ya ruhusa ya wavumbuaj, hapo sasa bizaa iloiga itakua feki maana haki zake hazitmbuliki, na bizaa iloigwa ndo original maana Ina haki ya kudai hki zake baada ya kuigwa. Sema bidhaa nyingi zilizopo Tz Kama hizo Techno n law quality. Kuna kitu kinaitwa( IS) kwa maana ya International Standard bidhaa yoyote ukiona imeandikwa IS ikifatiwa na nambanmba hiyo ni original na imepimwa kwenye maabara ya Kimataifa na kupewa Chet chnye hzo namba , u got it.
 
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani

Uko sahihi kabisa mkuu
 
Wakuu unapozungumzia feki inamaana ya kampuni Moja imeiga na kutengeneza kitu kinacho fanana vilevile kutoka kampuni ilobuni au kuvumbua bila ya ruhusa ya wavumbuaj, hapo sasa bizaa iloiga itakua feki maana haki zake hazitmbuliki, na bizaa iloigwa ndo original maana Ina haki ya kudai hki zake baada ya kuigwa. Sema bidhaa nyingi zilizopo Tz Kama hizo Techno n law quality. Kuna kitu kinaitwa( IS) kwa maana ya International Standard bidhaa yoyote ukiona imeandikwa IS ikifatiwa na nambanmba hiyo ni original na imepimwa kwenye maabara ya Kimataifa na kupewa Chet chnye hzo namba , u got it.

Umedadafua vyema mkuu
 
I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App ZinazofananaMtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana. WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA. TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
Usifananishe s4 na p3 we jamaa fananisha s4 na tecno phantomy..
 
Sawa naona wameongeza na xiaomi.

Hawajaongeza bali zilikuepo toka wanatoa first product.
Labda kama hujui Gsm wana add vipi review za simu.

Sticking to my point kutofanyiwa review na GSM arena haimaanishi ni fake.

Labda ungesema wewe simu kutowekwa GSM Arena inamaanisha nini.

Mfano mwingine sijaona smartphone za landrover zikifanyiwa review GSM arena

Bado unaendelea kukurupuka.
Sonim Land Rover A8 - Full phone specifications
 
Wakuu unapozungumzia feki inamaana ya kampuni Moja imeiga na kutengeneza kitu kinacho fanana vilevile kutoka kampuni ilobuni au kuvumbua bila ya ruhusa ya wavumbuaj, hapo sasa bizaa iloiga itakua feki maana haki zake hazitmbuliki, na bizaa iloigwa ndo original maana Ina haki ya kudai hki zake baada ya kuigwa. Sema bidhaa nyingi zilizopo Tz Kama hizo Techno n law quality. Kuna kitu kinaitwa( IS) kwa maana ya International Standard bidhaa yoyote ukiona imeandikwa IS ikifatiwa na nambanmba hiyo ni original na imepimwa kwenye maabara ya Kimataifa na kupewa Chet chnye hzo namba , u got it.

Wewe unashindwa kutofautisha kati ya Clone na Fake.
TECNO wakitengeneza Simu inayofanana na samsung S5 tutaita clone ya S5 kutoka samsung.
Na TECNO wanapotengeneza simu zao nakudai zina specifications kubwa kuliko uwezo halisia tunaita ni fake.

Mfano tukianzia na P3 yenye camera 3MP, inapiga picha quality ya 1MP/0.5MP hapo inamaana TECNO wamedanganya, kwahiyo Tecno P3 ni fake, jaribu ata kuangalia picha iliyopigwa na Asha 200/201 yenye camera 2MP kama itafanana na P3 yenye camera 3MP.
 
Back
Top Bottom