mkuu tecno sio fake ni low quality phones.
simu fake ni ipi na low quality ni ipi?
fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128
tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.
hope umeelewa
Bado sijakubaliana na wewe..
Simu Made in China ziko ktk madaraja 3..
1. Orijinal,ambazo huuzwa zaidi Uk,USA,ASIA na ni ghali haswa.. like Dapeng,Motorrola,ZTE, Tecno nk..
2.Hizi ni copy ya orijinal ambazo huuzwa China yenyewe,Dubai,Asia,na Baadhi ya Nchi za Africa( hizi huwezi toa kasoro zikiwa pamoja,I mean copy & original)
3. Hapo ndipo vurugu zilipo,hizi hazina trade mark,wala warrant card..
Na huuzwa Nchi maskini ikiwepo Tanzania..
Tecno as Tecno,ni simu original yenye quality pouwa na bei ya chini..
Imelenga kuweka ushindani na Nokia,Samsung,Lg nk..
Smart Phone N7,Phantom,P3 ni simu bomba, zina uwezo na internet ya 2G,3Gna 4G..
Mimi ni muuzaji wa Simu 10yrs sasa,nazifahamu sana fake na original..
NB;
Fake huwezi kupewa warrant
Original utapewa 1yr + 1month warrant..