snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,162
Kwanza tufahamu maana ya neno fake, na maana ya neno BELOW STANDARD, hapo ndio tutajua tunabishana kuhusu nini. Ukisema tecno Ni fake basi Kuna original iliyoigwa. Otherwise tuongelee STANDARD
Mkuu unachokizungumzia hapo kwamba kama kitu ni fake basi kuna original yake unakua unakosea, sio lazma iwe ivyo.
Angalia therasus dictionary inavyosema kuhusu "clone"
- *Main Entry:- clone
*Part of Speech: noun
*Definition:- exact duplicate
*Synonyms:- act-alike, copy, double, duplicate, look-alike computer, reproduction, twin.
Kwahiyo ulichozungumzia hapo juu ni clone, lakini simu ambazo ni clone huwa vile vile ni fake, lakini simu fake sio zote huwa clone.
Angalia Urban dictionary inavyosema kuhusu "Fake"
- *Main Entry:- FAKE
*Part of Speech:- adjective
*Definition:- false, imitation
*Synonyms:- affected, artificial, assumed, bogus, concocted, counterfeit, fabricated, fictitious, forged, fraudulent, invented, make- believe, mock, phony, pretended,
Hapo tunaona maneno mengi ikiwemo fake na maana yakuwa ni pretended.
Kwahiyo kama simu walipretend ina 32GB ukakuta 16GB mana yake ni fake.
Urban dictionary wameongezea hapa "fake Something that isn't real, even if you want it to be real through wishful thinking."
Sina maana ya kwamba TECNO ni fake, ila kama tutaambiwa camera ina 16MP afu inatoa picha za 2MP basi itakua ni fake.
snipa
Last edited by a moderator: