Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

yaani hizi simu za tecno(N3,P3,L3,Q1,N7,M7,F7(PHANTOM A)),kwa hasiyependa maujiko yasio na msingi(ooo mimi situmii simu ya mchina,sijui ya mchina feki),tecno hizo ni mpango mzima unatumia mitandao yote ya kijamii unayoijua,vitabu vya pdf na word documents,yanini ucomplicate maisha?,wabongo bana.
 
Mtoa mada mwenyewe hajaweka wazi TECNO zipi hizi za kawaida au Android. Me natumia TECNO N3. Kutoka Asha 311.sina ninacho kosa. Zaidi ya kufurahia technology ya Android apart from java.
 
tecno phantom Z Hii ndio bora sana just google hapo ujisomee mwenyewe
 
yaani hizi simu za tecno(N3,P3,L3,Q1,N7,M7,F7(PHANTOM A)),kwa hasiyependa maujiko yasio na msingi(ooo mimi situmii simu ya mchina,sijui ya mchina feki),tecno hizo ni mpango mzima unatumia mitandao yote ya kijamii unayoijua,vitabu vya pdf na word documents,yanini ucomplicate maisha?,wabongo bana.

sijui unamaanisha nn unaposema hutumii mchina, kwa taarifa yako tecno ni mchina no1
 
Ninatumia tecno H6.....napata apps za muhimu na nimeiroot pia....
Naitumia hiii only because Bado sijapanga mambo sawa nihamie kwa either s5 au note 4...

Tunaotumia tecno devices tuache ubishi jamani tusijilinganishe na zle Samsung ambazo ni high ends device kama s4 au s5...
Hio phantom ni nzuri ndio wamejitahidi kwa camera pia ila Bado ram ni 1gb what a heck???
Yaani hapa navuta kasi tu nimuhame tecno niendelee na Samsung.

Kuna jamaa yangu huwa anasema "acheni ubishi wa ngomani"
 
HOW TO KNOW AN ORIGINAL TECNO PHONE
1. Visit Genuine Check
2. Enter your IMEI code and VC code in the relevant field and submit.
3. You will get a response informing you if the phone is GENUINE or NOT.

HOW TO KNOW AN ORIGINAL TECNO PHONE BATTERY
1. Visit Genuine Check
2. Enter your SN code in the relevant field and submit.
3. You will get a response informing you if the battery is GENUINE or NOT.
 
ninatumia tecno h6.....napata apps za muhimu na nimeiroot pia....
Naitumia hiii only because bado sijapanga mambo sawa nihamie kwa either s5 au note 4...

Tunaotumia tecno devices tuache ubishi jamani tusijilinganishe na zle samsung ambazo ni high ends device kama s4 au s5...
Hio phantom ni nzuri ndio wamejitahidi kwa camera pia ila bado ram ni 1gb what a heck???
Yaani hapa navuta kasi tu nimuhame tecno niendelee na samsung.

Kuna jamaa yangu huwa anasema "acheni ubishi wa ngomani"

karibu samsung mkuu
 
Tecno hamna Original wala nini, Tecno ni simu ambazo zinatengezwa kwa vifaa duni tofauti na Huawei, Samsung n.k

Point na hata ukiangalia competition yao iko low sana yani hata hawajaweza kuifikia motorola
 
karibu samsung mkuu

Asante mkuu...nilikua member huko nikahama baada ya mambo kuwa mengi....
Hiii ya kusema sijui tecno hivi na vile huwa tunasema tu kujifariji...
Huwezi linganisha mtk chipset na hizi snapdragon sijui za Samsung.
Tecno ahesabu kapoteza Mteja mmoja this month au after two months.
 
Me naona wanafunz na waliongia katika mawasiliano majuzi huwa wanatumia tecno...nafikir pia ni ushamba wa sare sare na bei
 
tecno wabovu sana siku hizi simu zao hazikai chaji,hasa hizi iPod walizozileta ni mbovu sana
 
ni kwanini tecno hazipatikani katika database ya gsmarena..huwa nikisearch kila simu top search result huwa ni GSmarena. zote hadi huawei ila nashangaa why not tecno..kwamba hazijulikani kimataifaa?
 
natumia tecno H6 naenjoy kwa kweli but siwezi ifananisha na Samsung aisee..Samsung level njingine tunatumia hizi kwa sababu za low cost.. najichanga angalau nipate hata s4, watu wanakimbizana na s6 edge hukoo..wanaosema TECNO ni sawa na Samsung, tuulize jee zingekuwa na bei sawa bado tungechagua TECNO? wengi tumeangukia tecno kwa kuwa ndio kimbilio letu..bei rahisi..
 
Ivi mkuu kuna tecno inayouzwa milion moja kweli, binafsi hua namshangaa sana mtu anaetoa laki tano kununua techno
 
Back
Top Bottom