Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Mnabishana nn aisee kujua cmu ni orijino au fekI ni kazi ndogo tuu omba IMEI no then angalia tarakim ya 7 na 8 hzo ndo znadetermine ipi feki ipi orijino sema kwa sahv cwez sema kila k2 4 moRe info ntrudi kumalzia hZo tarakimu ya 7na 8 lakin huyu mnyAma muachen aisee mcifmguse na tecno zenu S4

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Inapendeza sana kusema kitu ambacho unauhakika nacho..
Umeishawahi kutumia Tecno?
Model ipi?
Gallaxy S4,S3,Note,Tab ,original ziko vzuri..
LG,SonyEricson,Moto Droid,HTC,Nokia pia wako vzuri..
Lakini kwa upande wa Price ziko juu sana tofauti na Tecno..
Lakini kwa sasa,Tecno N7,Phantom ,mkuu acha ubishi..
Narudia ninaziuza simu nazifahamu ,kwa sasa Tecno na ZTE zimekamata soko..
Nairobi gumzo ni Smart Phone za Tecno na ZTE.. na utambue simu fake hazifanyi kazi pale...
 
labda ulikuwa unafanansha samsung galaxy pocket

Acha ubishi...
Kama sifa ya simu ni Brand,Samsung asingeipiku iPhone
Na kabla watu hawajaitumia S3,S4,Note na Tab walikua wabishi hivyohivyo kukubali kua ziko juu..
Sass nakushauri,jaribu N7 au Phantom uone nini Tecno wamefanya...
Sina haja ya Super Sport, Live naangalia kwenye Phantom...
 
Inapendeza sana kusema kitu ambacho unauhakika nacho..
Umeishawahi kutumia Tecno?
Model ipi?
Gallaxy S4,S3,Note,Tab ,original ziko vzuri..
LG,SonyEricson,Moto Droid,HTC,Nokia pia wako vzuri..
Lakini kwa upande wa Price ziko juu sana tofauti na Tecno..
Lakini kwa sasa,Tecno N7,Phantom ,mkuu acha ubishi..
Narudia ninaziuza simu nazifahamu ,kwa sasa Tecno na ZTE zimekamata soko..
Nairobi gumzo ni Smart Phone za Tecno na ZTE.. na utambue simu fake hazifanyi kazi pale...
Mkuu kuuza sim sio sabababu unaweza usijue yote nimejaribu kucheck Android phone chart app ya Antuntu benchmark ambayonimewapeni hapo juu sijaona cha N7 wala cha Phanton ktk orodha so ubishi hauna maana
 
Makao makuu yako China,na Nairobi kuna Wakala wa Tecno East Africa.. acha ubishi mimi ni muuzaji wa simu kwa miaka 10 sasa...

Mkuu unachosema ni kweli kabisa,Nairobi kwenye mtaa wa luthuli kuna wakala wao wa east africa pamoja na customer care tena kubwa tu na top management ni wachina wenyewe mm nimefika na nimejionea kwa macho yangu kama simu yako ina shida au unahitaji maelezo zaidi unafika hapo.
 
Wewe usiwe mbishi kwa mfano Instagram kuna insta video ambayo kama simu ya android si version 4 na ram zaidi ya 1GB and upper haisupport.... .

Kuna application kibao huwez ku install ukiwa na android version chini ya 4..

Halaf jiulize TECNO wanatoa UPDATE za firmware yako..???

TECNO HAIPO HATA KWENYE LIST YA GSMARENA......

Ukiwa unamu-address mtu usitumie neno "wewe" huo sio ustaarabu. Nielewe,sizungumzii mambo ya quality na vitu kama Insta Video..sio wote tuko huko,sina Instagram na sihitaji kuwa nayo,nazungumzia apps za kawaida ambazo nimesema ni commonly used kwa watu.
Watu wazima hawabishani wanaeleweshana..usiwe unatumia maneno ya namna hii kwa watu usiojuana nao.
 
Acha ubishi...
Kama sifa ya simu ni Brand,Samsung asingeipiku iPhone
Na kabla watu hawajaitumia S3,S4,Note na Tab walikua wabishi hivyohivyo kukubali kua ziko juu..
Sass nakushauri,jaribu N7 au Phantom uone nini Tecno wamefanya...
Sina haja ya Super Sport, Live naangalia kwenye Phantom...
so unataka kusema phantom ni better kuliko galkaxy ama???,ukitaka ucompare device basi linganiisha ambazi zinawiana kama ni phantom ni flagship ya tecno basi linganisha na flagship yya samsung ambayo ni s4,then ulete majibu!!!,sasa hivi watu hawangalii sana hardware za device kama vile processor ram n.k bali unique feature phone kama vile unavyoona waterproof au dustproof kwas saony,na innovation mbalimbali thats y unaona lenovo nowdays anakuja juu na hivi ndio falgship inavyotakiwa kuwa all in all sijabisha kwamba tecno sasa hivii wanajtahid hasa kwa afrika mashariki kutokana na sisi kipato chetu cha kati na tuna shida na smartphone,na kwa sasa kinamatter pia os (android kwa mfano) kuliko oem
 
Makao makuu yako China,na Nairobi kuna Wakala wa Tecno East Africa.. acha ubishi mimi ni muuzaji wa simu kwa miaka 10 sasa...

ona mnavyochanganyana sasa wewe unasema china, mwengine kasema hongkong na mwengine anasema india. hii ni sifa ya kwanza ya utapeli.

kwani ile kampuni ya desi iliodhulumu watu haikuwa na mawakala si matapeli pia wale?

kuuza simu si kigezo cha kufahamu simu.

mkuu nimefanya research ya online ya tecno na conclusion nliofikia ni hii

1. wamekua na website baada ya kutoa device za android
2. hawana kiwanda kinachojulikana
3. wanatumia maui kama customized android (sawa na wachina low quality wengine)
4. wikipedia, gsmarena na website kubwa za tech hazina review zao
5. idc, kantar, aduplex na website kubwa za research ya mauzo ya simu hawana data zao
6. haijulikani ni wachina, wahongkong au wahindi
 
How and why did Tecno enter the African
market?
The company started in 2006 in Hong Kong
with our first research and development centre
in Shanghai, China. For two years, our business
focused on the South Asia market. After
studying the markets in South East Asia, Africa
and Latin America, we found out that Africa
would be the most lucrative market for us. We
began operations here in 2008 before
eventually stopping our business in Asia to
exclusively focus on Africa.
Today, Tecno does business in Africa only. We
want to be the mobile king of Africa. The
continent receives a lot of imports but the
products are not always modelled to fit
demand here. We ensure our products meet
the local demand because they are solely
produced for the African market. We are
present in 12 countries in East, West and
Central Africa where we currently control an
average of 20% market share in each of the
countries. This year we are going to explore
the Southern and Northern Africa markets
starting with South Africa and Egypt . We are
also going to strengthen relations with
technology giants both in manufacturing and
service provision to ensure quality in products
and customer experience. We have no option
but to have the best products. You can’t be a
failure in Africa and go somewhere else. We
have to make it here.
 
Wewe usiwe mbishi kwa mfano Instagram kuna insta video ambayo kama simu ya android si version 4 na ram zaidi ya 1GB and upper haisupport.... .

Kuna application kibao huwez ku install ukiwa na android version chini ya 4..

Halaf jiulize TECNO wanatoa UPDATE za firmware yako..???

TECNO HAIPO HATA KWENYE LIST YA GSMARENA......
ha ha ha ha haaah
ukitafuta gsmarena mpaka kijasho kinakutoka halafu huambulii kitu, ukitaka specs zake unazipata kwenye web za wauzaji, ni nani anayemwamini muuzaji
 
sony ericson hv pia si ni mchina maana nilizokutana nazo zimeandikwa made in china!?ndugu zanguni simu ukishindana nazo hujengi inayokufaa tumia,siwezi nunua simu kisa inafront camera nitapata skype vzur nikiwa na call kwa video call wakati sina hata huwezo wa kununua skype credits,so matumizi yako ndio yatafanya ununue simu uitakayo,unakuta watu wazima wana iphone 5 halafu hata whatsapp hana muda nao na net wala haingia maana analaptop kando,kama Tecno inakufaa kwa matumizi yako basi tumia ndugu zanguni ujanja siku hizi ni kumiliki nyumba,biashara na gari sio simu tena,wachaga huku wanatumia nokia tochi.
 
Mkuu vipi tena mbona niliona post yako inayosema mtu akihitaji phantom A1 aku pm atapata kwako kwa bei rahisi,ina maana unafanya biashara ya vitu ambavyo huviamini?

phantom ndo ilikuwa imetoka na tz zilikuwa hazijafika kwa wingi tulikuwa tunazichukulia Nairobi, mzigo wa kwanza ulivyoisha hatukuwa na interest na kuagiza mwingine kwa sababu hii ya kutoziamini, maana hata wateja walikuwa wakiziulizia wanakutana na bei ndogo na kuhisi ni bidhaa feki
 
kwani mkuu hamna nokia original zenye vitu hivyo....au hata nokia tochi ni nokia fake???
Msome vizuri comment yake ndugu! unaweza wapi pata nokia yenye memory card assume 2gb,radio,bluetooth, intanet na hiyo tochi uliyoitaja kwa 30000?
 
Acha ubishi...
Kama sifa ya simu ni Brand,Samsung asingeipiku iPhone
Na kabla watu hawajaitumia S3,S4,Note na Tab walikua wabishi hivyohivyo kukubali kua ziko juu..
Sass nakushauri,jaribu N7 au Phantom uone nini Tecno wamefanya...
Sina haja ya Super Sport, Live naangalia kwenye Phantom...

Hiyo Phantom inauzwa Tsh ngapi?
 
ha ha ha ha haaah
ukitafuta gsmarena mpaka kijasho kinakutoka halafu huambulii kitu, ukitaka specs zake unazipata kwenye web za wauzaji, ni nani anayemwamini muuzaji

Acha kudanganya...fungua link hii chini

TECNO Mobile » Products

Halafu soma maelezo yao na utakapomaliza ndio utajua mchina ni nani ktk dunia ya Biashara

About TECNO

TECNO was the first dual SIM mobile phone brand to hit the market in Africa,and staying true to the maxim
[FONT=bariol_regularregular]"think globally, act locally"[/FONT], TECNO has achievedgreat success in translating advanced technology into superior localizedproducts. TECNO puts heavy consideration on the customers experience andendeavors to [FONT=bariol_regularregular]provide the customer with the most suitable products for theirenvironment by adopting the latest innovative technology.[/FONT]

TECNO possesses a comprehensive product portfolio, which includes all levels ofmobile phones, including feature phones and smartphones. With an R&D centerin France, TECNO designs the highest level products with only one target --
[FONT=bariol_regularregular]togive consumers the best product at the best price.[/FONT][FONT=bariol_regularregular][/FONT]

TECNO mobile phones have been highly favored by consumers due to their highquality, powerful recreational function, high-performance in Internetexperience and an excellent service support network. With its brand philosophy,it is no surprise that TECNO is not only the fastest-growing mobile brand inAfrica, but also one of the top three mobile phone brands, a position it hasachieved in a mere 5 year period.
 
Mkuu kuuza sim sio sabababu unaweza usijue yote nimejaribu kucheck Android phone chart app ya Antuntu benchmark ambayonimewapeni hapo juu sijaona cha N7 wala cha Phanton ktk orodha so ubishi hauna maana

Ninatumia Antuntu benchmark v3 kwa N7
 
Acha kudanganya...fungua link hii chini

TECNO Mobile » Products

Halafu soma maelezo yao na utakapomaliza ndio utajua mchina ni nani ktk dunia ya Biashara

About TECNO

TECNO was the first dual SIM mobile phone brand to hit the market in Africa,and staying true to the maxim
[FONT=bariol_regularregular]“think globally, act locally”[/FONT], TECNO has achievedgreat success in translating advanced technology into superior localizedproducts. TECNO puts heavy consideration on the customers experience andendeavors to [FONT=bariol_regularregular]provide the customer with the most suitable products for theirenvironment by adopting the latest innovative technology.[/FONT]

TECNO possesses a comprehensive product portfolio, which includes all levels ofmobile phones, including feature phones and smartphones. With an R&D centerin France, TECNO designs the highest level products with only one target --
[FONT=bariol_regularregular]togive consumers the best product at the best price.[/FONT][FONT=bariol_regularregular][/FONT]

TECNO mobile phones have been highly favored by consumers due to their highquality, powerful recreational function, high-performance in Internetexperience and an excellent service support network. With its brand philosophy,it is no surprise that TECNO is not only the fastest-growing mobile brand inAfrica, but also one of the top three mobile phone brands, a position it hasachieved in a mere 5 year period.

Mkuu,kuna watu wana ushabiki na vtu ambavyo hawajavtumia..
Kwanini mtu alete ubishi kwa kitu ambacho ajakitumia?
Kwa simu za China Tecno na ZTE wako juu .. Huo ni ukweli.. Wengi ni waathirika wa Simu Brand.. na hilo ndilo tatizo..
 
Back
Top Bottom