wakati nasoma kuhusu counterfeight products, they include, substandard products, products that manufactured in another factory claiming that it's original...mkuu tecno sio fake ni low quality phones.
simu fake ni ipi na low quality ni ipi?
fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128
tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.
hope umeelewa
Fake zote ni low quality lakini siyo low quality zote ni fake.simu za mchina zenye kiwango ni HTC na huawei
Zikifuatiwa na tecno na zte
Tecno kama brand ni brand maarufu duniani ikiwa na makao makuu Hongkong sasa ufeki hata Apple kuna feki
Kwa hyo android hebu njuze kuwa je ma2mz ya kawaida 2 znafaa ama vp pia hawa majamaa mawacliano yao yanapatkana wapi mkuu
Kwa hyo android hebu njuze kuwa je ma2mz ya kawaida 2 znafaa ama vp pia hawa majamaa mawacliano yao yanapatkana wapi mkuu
Android ni software na sio hardware na unaposema Mawasiliano yanapatikana wapi, wamaanisha nini?
Anamuuliza Swali Mr Android 00!! Naona Username zmeisha kabissaaaaa
hadi sasa hv page ya 6 sijapata jibu mh!kazi ninayo
Aha ahaaaaa unatumia cm gain?
nokia mkuu ila nampango wa kuhamia android sasa hapaa mh..