Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,062
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.
Unfortunately, kwa sasa, tuna-deal na matokeo ya ufisadi wakati ni tabia ambayo inatakiwa kuwa addressed as early as possible.
Nimeamua kutoa mfano mdogo sana leo wa website ya Sekretarieti ya ajira. Website yetu hii ina picha 12. Kati ya hizo CEO ameonekana 8 times tena akiwa anapiga pushups na kushika viuno.
Huu ni ubinafsi. We need to combat the root cause of this problem before it advances unexpectedly. Karibuni lunch. Wanaume msije.