kashinje masanja
Member
- Jan 18, 2013
- 26
- 9
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu