Ubinafsi wa Viongozi wa CHADEMA makao makuu

Ukishalipia huwa unapewa stakabadhi? baada ya hapo huwa unasomewa matumizi ya hizo pesa?

uko sahihi na hili ndio tatizo lilopo chadema na huu ndio udhaifu wa mbowe. Mbowe anakopesha chama bila maandishi na anakujakujilipa fedha nyingi kuliko kile alichokikopesha chama. rejea waraka wa CHACHA WANGWE na KITILA ambao hadi sasa hazijakanushwa pamoja na kwamba zinatolewa hoja za kukitaka chama kukanusha tuhuma zilizoibuliwa na nyaraka hizo. Mbowe akanushe hizi tuhuma, kinyume chake tutaendelea kuamini huo upande uliozitoa.

binafsi na najiuliza, kwanini hoja za akina Mwigamba, marehemu Wangwe na Kitila hazijibiwi badala yake watoa hoja huitwa wasaliti bila hoja zao kujibiwa? Binafsi naanza kuamini ndani ya chama chetu kuna tatizo la uongozi, uongozi wetu ni dhaifu, legelege na mbaya zaidi hauaminiki.

Ingekuwa ni uongozi shupavu, imara na wenye kuaminika tungeona wanaotoa tuhuma hadharani wakishughulikiwa lakini hizo tuhuma zilizotoka hadharani zikijibiwa hadharani kwa vielelezo na ushahidi uso na shaka. Salama ya CHADEMA kwasababu watz wameshaichoka CCM na mtindo wa chama chetu kulipua mabomu ya ufisadi; mambo haya mawili yamepelekea chama chetu kupendwa na kukimbiliwa na watu wengi, lkn viongozi wake ni MAJANGA, hawajui kuongoza wanachojua wao ni kuishambulia CCM na kulipua mabomu ya ufisadi.

Kwakuwa sasa wanaishambulia CCM kama chama tawala, tukishinda tutaishambulia kama chama cha upinzani chenye kuhatarisha ridhaa tutakayopewa na umma kuongoza nchi hii. Kwa mtindo wa kushambulia kama ndio njia ya kuwatumikia watz hatutafika mbali na tafauti yetu na CCM itakuwa ni JINA tu, lkn vitendo vyetu vitakuwa vilevile.


MUNGU WAPE BUSARA NA HEKIMA VIONGOZI WA CHADEMA NA WANACHAMA WAKE.
 
Jibu hoja, ulichokiandika hapa ni pumba tupu. Hoja ya ubinafsi hujaijibu.
eeee bhabha...kahoja kako ata hakasomwi..umeua kama bundi kila mtu anakushangaa namna unga wa ndere ulivyo kukolea....pola jamani pole..usirudie tena kupost madude anayoonesha namna unavyofikiri kwa ufinyo,,poleeeee..poleeee...masikini mpaka nakuonea kahuruma...alafu dada kiswahili fasaha atusemi swala ni suala..swala is an animal but ndo namna elimu yako inapofikia.....
 
Utaratibu mzuri, ruzuku zenye jukumu la kuimarisha chama mnamwachia Mbowe azile kish
a awakopeshe.
Pasco njaa(kwa kisukuma) una uhakika na unayoyashabikia?au ili mradi uendelee kuonekana unachangia namna ya kuendeleza propaganda mnazodhani zitaidhoofisha Chadema?ndugu yangu wewe najua kinachokutesa ni Salvatory tu na wala hakuna kingine,unajifanya unajua tangu kitambo unachokijua ni nini kuhusu fedha za Ruzuku pamoja na matumizi yake?hizo habari za kizushi za kina MM M1 na wapambe wao waliofukuzwa chadema ndio mnazihalalisha kuwa ni matumizi haramu ya ruzuku.hata huyo aliepost uzi huu atakuwa ni mtu mwenye element za saisa za magamba,kwetu sisi chadema tunakwenda kwenye mikutano yetu kuanzia ngazi ya matawi unalipia,sio kama magamba kuanzia ngazi ya shina ukienda kwenye mikutano au kazi nyingine ya chama unalipwa,na hiyo ndio tofauti kubwa tulionayo.
 
Back
Top Bottom