Ubinafsi wa Viongozi wa CHADEMA makao makuu

Jan 18, 2013
26
0
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu
 
JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
168
225

eeee bhabha...kahoja kako ata hakasomwi..umeua kama bundi kila mtu anakushangaa namna unga wa ndere ulivyo kukolea....pola jamani pole..usirudie tena kupost madude anayoonesha namna unavyofikiri kwa ufinyo,,poleeeee..poleeee...masikini mpaka nakuonea kahuruma...alafu dada kiswahili fasaha atusemi swala ni suala..swala is an animal but ndo namna elimu yako inapofikia.....
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,000
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu
Mkuu hii hoja ni nzito sana, viongozi wetu ukitaka ukorofishane nao uliza suala la mapato na ruzuku. lazima uitwe msalaiti
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,000
kiachoiuwa chadema ni umimi, ubabe, umungu watu na umangimeza. lazima kitasambaratika tu. hakuna kufuata sheria wala taratibu mle ndani
 
jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,413
2,000
Haya wewe ndio unayajua leo?!
Pasco njaa(kwa kisukuma) una uhakika na unayoyashabikia?au ili mradi uendelee kuonekana unachangia namna ya kuendeleza propaganda mnazodhani zitaidhoofisha Chadema?ndugu yangu wewe najua kinachokutesa ni Salvatory tu na wala hakuna kingine,unajifanya unajua tangu kitambo unachokijua ni nini kuhusu fedha za Ruzuku pamoja na matumizi yake?hizo habari za kizushi za kina MM M1 na wapambe wao waliofukuzwa chadema ndio mnazihalalisha kuwa ni matumizi haramu ya ruzuku.hata huyo aliepost uzi huu atakuwa ni mtu mwenye element za saisa za magamba,kwetu sisi chadema tunakwenda kwenye mikutano yetu kuanzia ngazi ya matawi unalipia,sio kama magamba kuanzia ngazi ya shina ukienda kwenye mikutano au kazi nyingine ya chama unalipwa,na hiyo ndio tofauti kubwa tulionayo.
 
lebara

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
646
1,000
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu

Fedha ya makao makuu ya CHADEMA ni kwa ajili ya nyumba ndogo za wakubwa DJ MBOWE na BABU SLAA ( Joyce mukya na Josephine )
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu

haya mambo ameyaeleza vizuri sana samson mwigamba lakini akafukuzwa uongozi badala ya kuyafanyia kazi. udikteta umewajaa viongozi wa chadema, wameigeuza chadema kuwa saccos yao
 
Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,836
1,750
eeee bhabha...kahoja kako ata hakasomwi..umeua kama bundi kila mtu anakushangaa namna unga wa ndere ulivyo kukolea.... pola jamani pole..usirudie tena kupost madude anayoonesha namna unavyofikiri kwa ufinyo ,,poleeeee..poleeee...masikini mpaka nakuonea kahuruma...alafu dada kiswahili fasaha atusemi swala ni suala..swala is an animal but ndo namna elimu yako inapofikia.....

wewe ndio mtaalamu wa kiswahili unayekosoa wenzako?
 
Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,588
2,000
Ubinafsi wa baadhi ya viongozi wa chama makao makuu ya kutumia ruzuku zote bila kujali wilayani na mikoani kunaendeleaje ni swala pia linalokisumba chama changeu ,juzi mwenyekiti wa taifa katoka kumfukuza mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mara kisa hafanyi mikutano bila kueleza waliwahi hata kumpelekea vifaa vya chama mkoani kwake??, kadi, bendera na hata ruzuku hazifiki mkoani walitarajia huyo mtu afanye mikutano kwa kutumia raslimali zake ilhali wao wanajikopesha ruzuku na hata wakitumia za kwao huwa wanakikopesha chama tena kwa riba ya ajabu

Ulipoenda kufungua akaunti ya MASALIA GROUP Facebook ulipewa taarifa za uongo mkuu.Muulize Drogba!
 
Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,836
1,750
Pasco njaa(kwa kisukuma) una uhakika na unayoyashabikia?au ili mradi uendelee kuonekana unachangia namna ya kuendeleza propaganda mnazodhani zitaidhoofisha Chadema?ndugu yangu wewe najua kinachokutesa ni Salvatory tu na wala hakuna kingine,unajifanya unajua tangu kitambo unachokijua ni nini kuhusu fedha za Ruzuku pamoja na matumizi yake?hizo habari za kizushi za kina MM M1 na wapambe wao waliofukuzwa chadema ndio mnazihalalisha kuwa ni matumizi haramu ya ruzuku.hata huyo aliepost uzi huu atakuwa ni mtu mwenye element za saisa za magamba,kwetu sisi chadema tunakwenda kwenye mikutano yetu kuanzia ngazi ya matawi unalipia,sio kama magamba kuanzia ngazi ya shina ukienda kwenye mikutano au kazi nyingine ya chama unalipwa,na hiyo ndio tofauti kubwa tulionayo.

Ukishalipia huwa unapewa stakabadhi? baada ya hapo huwa unasomewa matumizi ya hizo pesa?
 
jhaule

Member
May 25, 2010
45
0
Huna hoja wewe akili yako imeganda kama yule ----- mwenzio mwigulu mchumba,amekwisha ss anatapatapa asikike,chadema viva
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
2,000
Mkuu kwani lazima uwe CHADEMA? si uende hata CHAUUMA ambapo huko ruzuku zinafika hadi mikoani. Masalia bwana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom