MWISHO
nipende kutoa shukrani kwa wale wote waliotoa maoni yao japo wengi walileta dhihaka na wengine kuandika maneno walosikia kuandika
Niwashukuru wale walotoa mawazo mapya,pia kupitia huu uzi nimejifunza nature ya watu tulionao japo tunatumia Id feki lakini kupitia maoni mbalimbali tyari nimeona kama nchi bado tunasafari ndefu
Watanzania wengi sio watu wa kuhangaika kutafuta vitu vipya yaani wao kitu ikishakuwa challenge hawataki na kama ni uzi umeleta utaambiwa ni chai,yaani watanzania kujifunza kitu kipya kwao ni maybe umbea,ndo maana hata furusa za masomo zinazotolewa kwa nchi maskini utakuta wamejaa wakenya,nigerians and ugandan wakati huku kwetu illiterate ni wengi lakini wala hata hawajigusi.
ni kawaida kukuta mtu anapiga soga mda wote lakini hajawahi kupitia makala zozote za afya eti kwa kuwa yeye siyo daktari.
Nisiongee sana lakini nashukuru kwa wale waliojaribu kunielewa