Unajua hapa Kila mtu anajaribu kutafakari what happened. Utatuwia radhi tu sie na akina
Demi Kwa kuwaza kama wachuja nafaka.
Naomba nihitimishe kwamba itakua uko wa kipekee, Kuna watu Wana vitu vya kipekee na Kwa upande wako ishu ya bikra au maumbile Yako ni ya kipekee.
Nadharia zingine kwamba ulibakwa ukiwa mtoto zinakosa nguvu Kwa sababu Kwa huo muda lazima oangerudi kubana. Mfano wake zetu wakijifungua, mwezi mmoja tu utasahau kwamba binadam alipita hapo.
Mwisho, ilimradi una amani na maisha Yako, sio Kila kitu lazima tupate majawabu kama binadam. Endelea kuifurahia maisha na mwenza wako.