Ubikira Wangu

Ubikira Wangu

sio kwamba uke wangu hauko tight yaani huko tight kwakweli nadhani ni mdogo pia ani,ambacho watu hawajaelewa ni kwamba usipopata maumivu basi uke hauko tight hivyo ni vitu viwili tofauti
Mbona unatuchanganya sasa, mwanzo ulisema mashine ilipita bila shida (yaan ali pump mara moja tu ikazama) na comment yako nyingine unamsifia mwenza wako kuwa mashine si haba. Kwa maelezo hayo ww ni mpana huko chini.
Tambua:- Hata bikra itoke na kazi au mazoezi magumu, hali ya kubana uendelea hadi pale atakapoanza michezo mibaya.
 
Mleta uzi bikra yako niliichukua pindi tu ilipozaliwa kama bado unaitaka niambie nikupe,vipi bikra ya nyuma bado ipo maana hiyo pekee ndio nilikuachia wewe mwenyewe uitunze..??
Akikujibu naomba uni tag, pia nimemuuliza kwa nia nzuri tu ili nimpe maoni yangu lkn amenijibu shit.
 
😑😑asa umeliwa na mwanaume mmoja huyo huyo akakuowa kweli we unaona hiyo ni sawa kingine hujiulizi kwann hukuwa na bikra? mi nafikiri ulikuwa na mahusiano na watu waishio huko baharini...
Tumia neno viumbe. Wale sio binadamu. Alijitahidi kujitunza huyu mdada. Wifi yake (mama yoyo) alizaliwa hukoooo kijijin miaka hiyo alipass pekeake kwenda shule Moja pedwa ya wasichana. Nilipokutana naye mashine ilikuwa tyt Sana. Mkurungeyeye ukizama ukitoka inauma ukiingiza inauma. Mashine ilibakia ndani ni humo humo. Sasa wewe kingunebe inakuaje hujasikia Chochote na mashine ilizama bila break na pumbuz ikawa break???
 
Mbona unatuchanganya sasa, mwanzo ulisema mashine ilipita bila shida (yaan ali pump mara moja tu ikazama) na comment yako nyingine unamsifia mwenza wako kuwa mashine si haba. Kwa maelezo hayo ww ni mpana huko chini.
Tambua:- Hata bikra itoke na kazi au mazoezi magumu, hali ya kubana uendelea hadi pale atakapoanza michezo mibaya.
Aidha ana bwawa au Mzee ana penseli
 
Mi kuna Manzi alinielewa sana wakati tupo chuo akasema Yeye ni Bikra Hajawahi kutoka na Mwanaume.. Ndio Kimeingia mwaka wa Kwanza tu hapo ,nikajua kweli.. Ila Sikukaamini sana. Nikaamua Kuchunguza Nikagundua Kalikuwa na Bwana Ake sema Wana long distance relationship kwahiyo mikwaruzano mara kwa mara..

Siku moja kakanizawadi Tunda ... Eeeeh yaliyo hayakuwepo tena.. Ila sikushangaa Sana Maana Nilikuwa nishajua Huyu keshaliwa zamani tu.. Nikaja nikakachana LIVE kwanini ulinidanganya.. Kakaanza Kujitetea Mi nilikupenda Na Nikaona Utanionaje kama Hutonikuta Bikra

Huyu ni ushauri tu kwa Wanaume.. Mwanamke akikupenda Atataka Ujue kwamba Yeye hajatumika sana kwahiyo Wanaingiaga na Gia za sijawahi Kutembea na Mwanaume ..wewe ndio wa kwanza.. Kumbe Waongo

Yule MANZI nilimwacha Maana Uongo wa Kwanza Unaweza Ukagharimu maisha Yetu yote ..
 
naam
 

Attachments

  • 3bf74a91f19a552c4b5f7ec22bb5560f.jpg
    3bf74a91f19a552c4b5f7ec22bb5560f.jpg
    53.2 KB · Views: 24
Nataka umrudishie huyo dada bikra yake ilopotea kwenye mazingira ya kutatanisha,maana leo ndo mara ya kwanza kusikia ishu kama hiyo.
Alipoingiliwa ilishatumika kichawi alisex na mchawi akambikiri basi aende,akaombewe sio maumbile ya mtu hakuna ambaye hajazaliwa na bikra hakuna
 
sio kwamba uke wangu hauko tight yaani huko tight kwakweli nadhani ni mdogo pia ani,ambacho watu hawajaelewa ni kwamba usipopata maumivu basi uke hauko tight hivyo ni vitu viwili tofauti
Uko tight wap we muhun
 
Mdau ngoja nikusaidie kidogo, jibu lako ni hili hapa:

Kuna aina mbali mbali za hymen/ au bikra.

Zipo zilizofunga kabisa hizi zinaitwa Imperforate Hymen- kwa kawaida hizi haziruhusu hata damu ya hedhi kutoka na huwa zinahitaji upasuaji mdogo ili kuruhusu njia kufunguka

Ipo aina nyingine inaitwa cribriform hymen aina hii inakuwa na matundu madogo madogo na layer nyembamba, aina hii kimsingi ina maumivu makali saaana wakati wa kutolewa

Pia vile vile zipo bikra ambazo hazijafunga kabisa ,kwa maana nyingine tundu lipo wazi kabisaaa, aina hii kama tundu ni kubwa unaweza usihisi maumivu kabisa hususani kwa wewe ulietegemea maumivu makubwa kisaikolojia maumivu haya unaweza usiyasikie kabisaa, haya maumivu ni subjective mwingine anaweza kuyahisi kwa mbaaaali. Bikra hii inaweza kutoka bila damu kabisa

Aina hii pia inaweza kuwa na tundu dogo lenye utando mdogo pembeni ya tundu , kwahivyo inaweza kutoka damu kidogo na maumivu kutegemeana na ukubwa wa dickson .

Kwa msaada zaidi google types of Hymen ili kuona baadhi ya picha uelewe vizuri.


Ndimi mtaalam wa bikra JF, nakaribisha maswali ya mabikra tu waje PM kwa maelezo zaidi .

Asante.
 
Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake.

Tiririka nami.
Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya mtoto aliyestaarabika.

Ukiachana na kustaarabika nilikuwa na akili pia darasani (kwa wale walosoma vijijini kipindi hiko kijijini mnafaulu wawili watatu basi nikajiunga secondary)

Kiufupi ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka namaliza masomo ya A level (changamoto zilikuwepo ukizingatia kule kwetu wanapenda rangi nyeupe lakini nilitaka nisome nimtoe mama yangu kwenye umaskini uliokithiri niliamini elimu tu ndio ingemaliza shida zote.

(Ningekuwa na wenge basi hata baada ya kumaliza sekondari ningeolewa make waoaji walikuwa wengi na hapa ndo huwa nasema kuna watu Mungu alishawachagua tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.

Baada ya kumaliza form six sasa hapo kidogo niliamua kumkubali mtu alieleta nia ya kunioa sikuwa serious nilitimiza wajibu tu ila mi nilikuwa nawaza shule, ikumbukwe zamani mtu alikuwa akinitongoza namuona kama adui yangu asiyetaka nisome shule basi tukaenda hivyo hivyo akataka aanze process za kunioa nikamuwekea vikwazo mpaka akashindwa mwenyewe.

Nikaingia chuo sasa mambo ya mahusiano yalizaliwa huko kwa kuwa ni mtu wa dini nikamwambia Mungu basi kama kweli ndiye niruhusu nianze naye mahusiano basi nikakubali yale mazoea na ushawishi wake nikakubali kumpa tunda.

Sasa kiini cha mada ndio hiki, maandalizi ya kutoa tunda kwa huyu mwanamme yakaanza nikaandaa na pedi make nilishagoogle huko opera na nilikuwa mwoga hatari mara story za unaumia mara unafanyeje.

Siku yenyewe ilipofika mkunyenge uliingia bila shida yaani sikuona cha damu wala tone wala maumivu mmh, akauliza wewe si ulisema hujawahi kutana na mwanamme nikasema ndio akawa dissapointed hata mimi nilipata shida make sio kitu nilichokitegemea, lakini baada ya siku mbili akasema usiwe na shida naye hakuwa na mambo mengi nadhani pia kwakuwa nilikuwa mtu anayejiheshimu labda alisema ni kweli, mahusiano yetu yaliendelea kwa kipindi cha miaka saba mpaka tukaja kuoana.

Baada ya kusoma soma habari nikakubali kwamba huenda ilipotea kutokana na kazi ngumu na pia nilikuwa naendesha baiskeli, kwa hiyo jamani sijui mambo ya bikra.

Ndoa yangu imekuwa nzuri sana na yenye amani nami nilikuwa sijui hata staili lakini nilipambana nikawa fundi babayeyo naona hachomoi, nami sitakuja kuchepuka kamwe.

Samahani kwa uandishi mbovu kama swali nitajibu ila natumia app ya zamani ko naweza hata nisionekane app mpya imenishinda.
Lengo lako tujue kuwa umeolewa baada ya kunyanduana kwa miaka saba? Au lengo tujue umesoma zamani enzi hizo mnafaulu wawili?
 
Back
Top Bottom