Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,369
- 6,717
Mkuu funguka kidogo.Unaweza ukala na uliemla asijue hiyo mbinu nimeitumia sana zamani.
Mkuu funguka kidogo.Unaweza ukala na uliemla asijue hiyo mbinu nimeitumia sana zamani.
Oya huu mwandiko ni wa chuo cha ufundi au chuo university?MWISHO
nipende kutoa shukrani kwa wale wote waliotoa maoni yao japo wengi walileta dhihaka na wengine kuandika maneno walosikia kuandika
Niwashukuru wale walotoa mawazo mapya,pia kupitia huu uzi nimejifunza nature ya watu tulionao japo tunatumia Id feki lakini kupitia maoni mbalimbali tyari nimeona kama nchi bado tunasafari ndefu
Watanzania wengi sio watu wa kuhangaika kutafuta vitu vipya yaani wao kitu ikishakuwa challenge hawataki na kama ni uzi umeleta utaambiwa ni chai,yaani watanzania kujifunza kitu kipya kwao ni maybe umbea,ndo maana hata furusa za masomo zinazotolewa kwa nchi maskini utakuta wamejaa wakenya,nigerians and ugandan wakati huku kwetu illiterate ni wengi lakini wala hata hawajigusi.
ni kawaida kukuta mtu anapiga soga mda wote lakini hajawahi kupitia makala zozote za afya eti kwa kuwa yeye siyo daktari.
Nisiongee sana lakini nashukuru kwa wale waliojaribu kunielewa
Safi sananaongea kwa wakati uliopo mamy,Mungu ndiye mlinda miji yetu
Soma hapo nimeshakuandikia jibu sahihi.MWISHO
nipende kutoa shukrani kwa wale wote waliotoa maoni yao japo wengi walileta dhihaka na wengine kuandika maneno walosikia kuandika
Niwashukuru wale walotoa mawazo mapya,pia kupitia huu uzi nimejifunza nature ya watu tulionao japo tunatumia Id feki lakini kupitia maoni mbalimbali tyari nimeona kama nchi bado tunasafari ndefu
Watanzania wengi sio watu wa kuhangaika kutafuta vitu vipya yaani wao kitu ikishakuwa challenge hawataki na kama ni uzi umeleta utaambiwa ni chai,yaani watanzania kujifunza kitu kipya kwao ni maybe umbea,ndo maana hata furusa za masomo zinazotolewa kwa nchi maskini utakuta wamejaa wakenya,nigerians and ugandan wakati huku kwetu illiterate ni wengi lakini wala hata hawajigusi.
ni kawaida kukuta mtu anapiga soga mda wote lakini hajawahi kupitia makala zozote za afya eti kwa kuwa yeye siyo daktari.
Nisiongee sana lakini nashukuru kwa wale waliojaribu kunielewa
Acha choyo.Na kingine nilichowaza sikisemi
Kwa sasa yupo tayari kuchepuka.Lengo la bandiko hili ni nini?
Hapa umewaza sawa na mimi.Hapana 😅😅
Nimewaza labda aliwahi kuingiliwa akiwa mdogo. Na hakuwahi kujua
Bikra hii nayoijua mim😊😊
Mhhh haya bn
umetish kakaMdau ngoja nikusaidie kidogo, jibu lako ni hili hapa:
Kuna aina mbali mbali za hymen/ au bikra.
Zipo zilizofunga kabisa hizi zinaitwa Imperforate Hymen- kwa kawaida hizi haziruhusu hata damu ya hedhi kutoka na huwa zinahitaji upasuaji mdogo ili kuruhusu njia kufunguka
Ipo aina nyingine inaitwa cribriform hymen aina hii inakuwa na matundu madogo madogo na layer nyembamba, aina hii kimsingi ina maumivu makali saaana wakati wa kutolewa
Pia vile vile zipo bikra ambazo hazijafunga kabisa ,kwa maana nyingine tundu lipo wazi kabisaaa, aina hii kama tundu ni kubwa unaweza usihisi maumivu kabisa hususani kwa wewe ulietegemea maumivu makubwa kisaikolojia maumivu haya unaweza usiyasikie kabisaa, haya maumivu ni subjective mwingine anaweza kuyahisi kwa mbaaaali. Bikra hii inaweza kutoka bila damu kabisa
Aina hii pia inaweza kuwa na tundu dogo lenye utando mdogo pembeni ya tundu , kwahivyo inaweza kutoka damu kidogo na maumivu kutegemeana na ukubwa wa dickson .
Kwa msaada zaidi google types of Hymen ili kuona baadhi ya picha uelewe vizuri.
Ndimi mtaalam wa bikra JF, nakaribisha maswali ya mabikra tu waje PM kwa maelezo zaidi .
Asante.
Kuelezea ubikiraLengo la bandiko hili ni nini?
Ndio inakuwa waje hiyo ya kutolewa kimazingira ya kiushirikina embu nielezee maana umetaja mwenyeweUlitolewa kimazingira ya kishirikina
Tutaamini vipi bila pichasio kwamba uke wangu hauko tight yaani huko tight kwakweli nadhani ni mdogo pia ani,ambacho watu hawajaelewa ni kwamba usipopata maumivu basi uke hauko tight hivyo ni vitu viwili tofauti
SwalaHiyo baisikeli ilikuwa Phoenix nini![]()
Yani sitasahau hyo siku nililia kilio Cha mbwa kokoYako ilikuwa ngumu sana kutoka eee?
Mshangae mwenzio😄😄😄😄