Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

Nikija dar ntadanlod apu yao, sitasahau dereva wa bajaji alivyonitolea panga saa saba usiku
Duh pole. Download now utaitumia siku ukiwa sehemu yenye huduma hio worldwide
 
Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Umenena kweli..
 
Uber ni most affordable kuliko hata bajaji.

Kuna mahala nilikua naenda kwa taxi ya kawaida kwa elfu 20, bajaji elfu15, lakini uber wananichaji elfu 9 au 11, ikiwa foleni elfu 14.

Ila usijaribu kitu kinaitwa taxify, watu wa hovyo sana.
Kama hizo Uber zenu zinakuwa affected na foleni basi hakuna cha maana hapo..
 
Utaona madereva taxi na boda boda na pikipiki watakavyokuja kwa kasi
 
Mimi juzi nilitoka pale slipway SAA Saba usiku mpaka Magomeni Hosp,,KWA ubwr na walinichaji 3500,,KWA aibu nikalipa 4000
 
Waongo... Uber inakuja kufa soon Kwanza haina sumatraa pili wakiwekewa Sumatra bei itapanda tofauti na bajaji... Unajua bajaj ndio cheap ila watu hawajui... Tu

Mfano ukipanda bajj ktk mwendo wa kilometer nne ni Elfu nne na ukijua kuongea na dereva bac utaweza panda chini ya apo... Ishu watu hajajua wanaopanda uber ela zinawatoka sana wana promote tu ila bajaza zipo poa
 
mkuu kutoka wp mpk wp hyo?? mana navyojua mm kiwango chao cha chini ni buku 3 unless uwe na promotion
Mkuu kuna promotion , hata mi nshalipa nauli ya book toka Masai club mpaka Breakpoint Kinondoni
 
Nani muongo sasa? Umbali huo huo nilichukua Bajaj 3000/- wakati nilipochukua Uber 1000/-
 
Wekeni picha ya "UBER" ili wamikoani ambao hawaijui waijue sasa...wamechoka na stori za maneno
Mikoani hata wakiijua haitawasaidia maana kwa sasa huduma ni kwa jiji la Dar tu ila wanajiandaa kusogeza huduma Arusha na Mwanza . Hao wengine waendelee kuitazama YouTube na Google . Wawe wavumilivu .
 
Tuwezesheni kuitumia tusioijua please
 
Sasa unabisha kama hawatoi promo... Kutoka apo masai club mpaka ubungo sh ngapi
 
I heard about taskify kama sijakosea kuandika...nasikia hao jamaa wameshusha sana kuvuta wateja sasa Uber akaona aende nao sawa kwa kucompete kwenye price by lowering price too
Its taxify and not taskify
 
Mie najua kima cha chini kabisa ni buku tatu tu,
 
Leo na jana nimelipa 1,000/-
Hii ni promotion tu nadhani mpka tarehe 27,unalipia nusu ya bei,nimesema nadhani maana kuna kipindi walinitumia ujumbe wakati Nilikua nahitaji usafiri wao
 
Weka link au contact wote tufaidi punguzo tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…