I heard about taskify kama sijakosea kuandika...nasikia hao jamaa wameshusha sana kuvuta wateja sasa Uber akaona aende nao sawa kwa kucompete kwenye price by lowering price too
Kuna ingine inaitwa Taxify nasikia ni cheaper kuliko Uber
Na zife tu mana walizidi kutupiga hele ndefu. Sasa full kiyoyozi ndani ya ubberKwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Kuna watu wanaitwa taxify.... ni kiboko mkuu.... bora niache ndinga na hizi faini za trafiki tuu.... km 1 wanachaji 500/=Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Aisee umeongea la maana sana. Ukifikiria hizi faini za kijinga ni mara mia Uber au TaxifyKuna watu wanaitwa taxify.... ni kiboko mkuu.... bora niache ndinga na hizi faini za trafiki tuu.... km 1 wanachaji 500/=
Nilitoka airport hadi ubungo kwa 9800 kitu ambacho hapo awali isingewezekana
Walikuwa ktk offer ile jana..Leo na jana nimelipa 1,000/-
Sio kila umbali ni 1000/-. Hata mimi nilipoita ilikuja estimates 3500-4500 ila nilipofika ikaonesha 1000/-Du nimetest hapo imekuja Tsh 14k
View attachment 684121