Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Ukiwa na promo code hata bure unaenda!Mie najua kima cha chini kabisa ni buku tatu tu,
Ukiwa na promo code hata bure unaenda!Mie najua kima cha chini kabisa ni buku tatu tu,
Tunaosema buku mawakala, wewe unaotokwa povu hivi ni nani?Hao wanaosema buku c mawakala wa uber... Mwanzon walikua ivo ili wateja muwe wengii sasa hivi mpo wengi kweli... Maana watanzania mnapenda ganda la ndizi...
Sasa hivi hakuna mnabisha tu... Na sumatra wanakuja maana uber haileweki n Tax au private car.. Ngoja cku itokee ajali Cjui bima gani itawa cover
Mnaongea tu kuipamba uber kumbe yaleyale bora bajaji...
Kama mnabisha fungua app ya uber screenshot tuone bei zake... Msiongee kiboya wanabei tu kama ya bajaj tena bajaji unaweza ata kukopa..
Utaona madereva taxi na boda boda na pikipiki watakavyokuja kwa kasi
Waongo... Uber inakuja kufa soon Kwanza haina sumatraa pili wakiwekewa Sumatra bei itapanda tofauti na bajaji... Unajua bajaj ndio cheap ila watu hawajui... Tu
Mfano ukipanda bajj ktk mwendo wa kilometer nne ni Elfu nne na ukijua kuongea na dereva bac utaweza panda chini ya apo... Ishu watu hajajua wanaopanda uber ela zinawatoka sana wana promote tu ila bajaza zipo poa
Bila shaka mkuu utakua unamiliki bajaji na bodaboda, kwa uber itabidi utulie tu tumechoka kupigwa vumbi.Hao wanaosema buku c mawakala wa uber... Mwanzon walikua ivo ili wateja muwe wengii sasa hivi mpo wengi kweli... Maana watanzania mnapenda ganda la ndizi...
Sasa hivi hakuna mnabisha tu... Na sumatra wanakuja maana uber haileweki n Tax au private car.. Ngoja cku itokee ajali Cjui bima gani itawa cover
Mnaongea tu kuipamba uber kumbe yaleyale bora bajaji...
Kama mnabisha fungua app ya uber screenshot tuone bei zake... Msiongee kiboya wanabei tu kama ya bajaj tena bajaji unaweza ata kukopa..
Muber amuua KibajajiHahaha nilipoona kichwa cha habari nilitaka kutoa taarifa polisi. Kumbe habari za kichochezi
Mkuu Kingdeeper hakuna aliyebisha.Sasa unabisha kama hawatoi promo... Kutoka apo masai club mpaka ubungo sh ngapi
Screenshot iyo route yako... Na bei yake... Mbona mambo mepec tu fungua app yako iweke tuone bei ya elfu tatu na umbali wake shider ipo wap kwan...tuone cc tunajua dhakhama wanazo pata dereva wa uber... Bajaj huwezi kuuwa soko lake... Na sportpesa tena ndo wanazidi kutoa fursa... Kwann wasieke uberBei ipi unayoijua wewe? Leo nimelipa buku sehemu ambayo bajaj ni 3000/- hutaki acha
Bado ni bei nafuu ikilinganishwa na taxi zisizo za UberUmewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.