RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,747
- 129,449
- Thread starter
- #81
Sitaki watu wa Uber wanijue.Screenshot iyo route yako... Na bei yake... Mbona mambo mepec tu fungua app yako iweke tuone bei ya elfu tatu na umbali wake shider ipo wap kwan...tuone cc tunajua dhakhama wanazo pata dereva wa uber... Bajaj huwezi kuuwa soko lake... Na sportpesa tena ndo wanazidi kutoa fursa... Kwann wasieke uber