Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

Hawawezi kuweka bei... Mawakala tu hao... Hawanajipya kama mnapanda kwa bei poa tufanyaje sasa mnataka mbebwee kichwani....

Bajaji tumetulia hakuna kijigambaa kindezii... Uber haiwez kufanya kazi dar na mwendokac labda mpite ktk barabara za mwendo kac na hamuwezii...
Duh mbona povu hivyo? Usihofu bajaj hamtakosa wateja. Inaonesha hata kusoma hujui,haya nakuwekea hapa chini.
IMG_20180125_171553.jpg
 
Aya poa... Apo umekuja na evidence... Sio mbali ata bajj bei iyo iyo... Kama unakataa bac
 
Mmh kwa mie wa mikoani hata sielewi mnaongea kitu gani hapa, ngoja tu niende zangu kule siasani
 
Mmh kwa mie wa mikoani hata sielewi mnaongea kitu gani hapa, ngoja tu niende zangu kule siasani
Ukija mjini utaelewa au ukivuka boda. Jitahidi kabla hujavuka boda upitie Dar to avoid cultural shock huko uendako.
 
Umewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.
Kuna kipindi wanakuwa kwenye promotion ndo maana charges zinakuwa ndogo sana na kipindi hiki wapo kwenye promo i think leo inaisha......

Mimi mara nyingi natumia sana uber nishapata trip mpaka za 1500 kwaajili ya promotion na juzi hapa nilikuwa sehemu but kila nikiita uber naambiwa hamna mpaka baade ndo nikapata tena ambayo ilikuwa kwenye trip after kuisha ndo ikanifata mimi,nikawa naongea na dereva wa uber akasema kwa siku hiyo madereva wengi walizima data kwasababu ya promotion

Na kweli mimi nilichargiwa elfu 3 nikaamua kumpa 5000
 
Hao wanaosema buku c mawakala wa uber... Mwanzon walikua ivo ili wateja muwe wengii sasa hivi mpo wengi kweli... Maana watanzania mnapenda ganda la ndizi...

Sasa hivi hakuna mnabisha tu... Na sumatra wanakuja maana uber haileweki n Tax au private car.. Ngoja cku itokee ajali Cjui bima gani itawa cover

Mnaongea tu kuipamba uber kumbe yaleyale bora bajaji...

Kama mnabisha fungua app ya uber screenshot tuone bei zake... Msiongee kiboya wanabei tu kama ya bajaj tena bajaji unaweza ata kukopa..
Wewe Utakuwa unafanya biashara ya Bajaji au Bodaboda.

Naona umekosa Amani kabisa !!!
 
Kuna kipindi wanakuwa kwenye promotion ndo maana charges zinakuwa ndogo sana na kipindi hiki wapo kwenye promo i think leo inaisha......

Mimi mara nyingi natumia sana uber nishapata trip mpaka za 1500 kwaajili ya promotion na juzi hapa nilikuwa sehemu but kila nikiita uber naambiwa hamna mpaka baade ndo nikapata tena ambayo ilikuwa kwenye trip after kuisha ndo ikanifata mimi,nikawa naongea na dereva wa uber akasema kwa siku hiyo madereva wengi walizima data kwasababu ya promotion

Na kweli mimi nilichargiwa elfu 3 nikaamua kumpa 5000
...hebu geukia mjini nisome dizaini ya hiyo jeans;
.dadeq
 
Back
Top Bottom