Umenena kweli..Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa nafuu kutumia Uber kuliko gari yako.
Kama hizo Uber zenu zinakuwa affected na foleni basi hakuna cha maana hapo..Uber ni most affordable kuliko hata bajaji.
Kuna mahala nilikua naenda kwa taxi ya kawaida kwa elfu 20, bajaji elfu15, lakini uber wananichaji elfu 9 au 11, ikiwa foleni elfu 14.
Ila usijaribu kitu kinaitwa taxify, watu wa hovyo sana.
Mimi juzi nilitoka pale slipway SAA Saba usiku mpaka Magomeni Hosp,,KWA ubwr na walinichaji 3500,,KWA aibu nikalipa 4000Umewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.
Mkuu kuna promotion , hata mi nshalipa nauli ya book toka Masai club mpaka Breakpoint Kinondonimkuu kutoka wp mpk wp hyo?? mana navyojua mm kiwango chao cha chini ni buku 3 unless uwe na promotion
Nani muongo sasa? Umbali huo huo nilichukua Bajaj 3000/- wakati nilipochukua Uber 1000/-Waongo... Uber inakuja kufa soon Kwanza haina sumatraa pili wakiwekewa Sumatra bei itapanda tofauti na bajaji... Unajua bajaj ndio cheap ila watu hawajui... Tu
Mfano ukipanda bajj ktk mwendo wa kilometer nne ni Elfu nne na ukijua kuongea na dereva bac utaweza panda chini ya apo... Ishu watu hajajua wanaopanda uber ela zinawatoka sana wana promote tu ila bajaza zipo poa
Wako kwenye promosheni nadhaniLeo na jana nimelipa 1,000/-
Mikoani hata wakiijua haitawasaidia maana kwa sasa huduma ni kwa jiji la Dar tu ila wanajiandaa kusogeza huduma Arusha na Mwanza . Hao wengine waendelee kuitazama YouTube na Google . Wawe wavumilivu .Wekeni picha ya "UBER" ili wamikoani ambao hawaijui waijue sasa...wamechoka na stori za maneno
Mkuu promo ipo ingawa wanaobenefit zaidi na hizo nauli ni wateja wa mara kwa mara .Du nimetest hapo imekuja Tsh 14k
View attachment 684121
Coz hailipiMadereva huwa wanaitamka kwa huzuni sana 🙂
Its taxify and not taskifyI heard about taskify kama sijakosea kuandika...nasikia hao jamaa wameshusha sana kuvuta wateja sasa Uber akaona aende nao sawa kwa kucompete kwenye price by lowering price too
Yes ndio unaweza peleka gari lakoVipi naweza tumia Uber? Je wana magari yao au inakuwaje?
Mie najua kima cha chini kabisa ni buku tatu tu,Umewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.
Hii ni promotion tu nadhani mpka tarehe 27,unalipia nusu ya bei,nimesema nadhani maana kuna kipindi walinitumia ujumbe wakati Nilikua nahitaji usafiri waoLeo na jana nimelipa 1,000/-