Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Mnawaonea sana wa mikoani ngoja wasikie mie simooooo!Wekeni picha ya "UBER" ili wamikoani ambao hawaijui waijue sasa...wamechoka na stori za maneno
Mnawaonea sana wa mikoani ngoja wasikie mie simooooo!Wekeni picha ya "UBER" ili wamikoani ambao hawaijui waijue sasa...wamechoka na stori za maneno
...Akhsanta!Mashaallah
kutakua kulikua na jam labda, nishatumia hata kwa 3000Umewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.
Hehehehee haya bhana...Akhsanta!
..mambo si ndo hayo sasa
Daaah, mwanaume wa dar kazi yako kuwaza chips mayai !Aina fulani ya chips mayai.
Gali = ghaliKama wanakuchaji 1000/= endelea nao tu, sisi wengine wanatuchaji gali sana.
Pakua app ya Uber kutoka playstore ingiza promocode ya TZABA05 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200 kwa mara ya kwanza. Usipoelewa niPM nitakuelekeza zaidiUber kwa kweli
Mi.siijui naomba.maelezo.inakuaje