Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

mbele naona kuna mpaka uber helicopter-nimemsikia remy ma akiverse kwenye new hit single yao na joe
 
wanajisumbua tu...nchi ishazoea kufanya mambo kishkaji ndo walete hiyo tech....boda boda kibaoooo watu wahangaikie UBER...

Wewe umenena
Yani mbongo kabisaa akubali kugawana jasho lake na kampuni ambayo inafanya kile anachoweza fanya bila msaada.
Tena ukiangalia aingie gharama ya bando juu ..
 
Nimehariri bandiko langu mkuu. Naamini sasa umeelewa.

Uber Technologies Inc. is an American multinational online transportation network company headquartered in San Francisco, California. It develops, markets and operates the Uber mobile app, which allows consumers with smartphones to submit a trip request which is then routed to Uber drivers who use their own cars.

Kwa asiyeijua hii lugha unamsaidiaje
 
Hapa sheria za TAXI imekuaje?
Maana UBER inamruhusu mtu yoyote mwenye gari kufanya biashara ya TAXI bila kibali chochote zaidi ya driving license yake, kwa Tanzania tunajua kuwa TAXI bubu haziruhusiwi so UBER wamelizunguka vipi hilo?

Hapa ndipo inataka mamlaka za mapato nazo ziumize vichwa kutuaminisha kuwa wapo kazini kweli ili mapato yasipotee
 
Uber services is almost half price cheaper than the regular taxi.

Still, not clear. What makes Uber cheaper? Say I ride on a regular taxi from Mwenge to City Centre for Tsh. 30,000. And you are saying with Uber taxi, I may pay as less as Tsh. 15,000 - the same distance, traffic etc. What is the catch here?
 
there is no cheapness in this business rather than being no negotiation at all
 
Madereva Taxi wa bongo inabidi waitumie hii kama nafasi ya kujikwamua na kupanua wigo wao wa soko.

Wakipinganana nayo itawa'cost kama wale madereva taxi wa France.

If you want to win business in modern world, you should embrace technology, the whole world is heading towards that direction.

Uzuri wa uber wanaweza kujoin hao madereva so long wana magari.
 
Kuna anasema mara GPS haitasoma, ukiwa na internet ya uhakika GPS inasoma hata uwe ndani ya hifadhi ya Selous sembuse vichochoro vya Dar.
 
Tabu kuliko zote ni kuwa bongo is corrupt in nature. Corrupt minds, corrupt thinking, corrupt actions. Lies, pretendences and sometimes criminal thinking. Will be hard to operate Uber in such environment lakini ni possible. Background check is probably the toughest challenge. But the idea is what wabongo do everyday.
 
Bora kuchaji kwa km na wenzetu wanakua na kimashine cha kusoma kiasi gani kimefika. Ila sie huku unachajiwa kwa kuangaliwa tu kma una hela au la
 
Mkuu
Kuna anasema mara GPS haitasoma, ukiwa na internet ya uhakika GPS inasoma hata uwe ndani ya hifadhi ya Selous sembuse vichochoro vya Dar.
Uko very right nimetembea na GPS toka Dar mpaka Namtumbo na nilikuwa sijawahi pita njia hiyo toka nizaliwe.
 
Bora kuchaji kwa km na wenzetu wanakua na kimashine cha kusoma kiasi gani kimefika. Ila sie huku unachajiwa kwa kuangaliwa tu kma una hela au la
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Taxi zetu hizi ni shida
 
Kwa mfano, watawezaje kufanya background checks za madereva ili kuweza kuhakikisha usalama wa abiria?

Mkuu Uber inafanikiwa Kwa sababu madereva wao hawafanyiwi background check wala finger print.
Nimesoma Kesi zao nyingi Uber wanapinga vikali hilo zoezi.
Sasa sijui hapa Tanzania itakuwaje
 
Mkuu Uber inafanikiwa Kwa sababu madereva wao hawafanyiwi background check wala finger print.
Nimesoma Kesi zao nyingi Uber wanapinga vikali hilo zoezi.
Sasa sijui hapa Tanzania itakuwaje

Background checks wanafanyiwa [kwa Marekani].

Na hapo sibahatishi. Ninajua kwa uhakika kabisa.

Na kufanyiwa background check si lazima uchukuliwe alama za vidole.
 
Back
Top Bottom