Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Another satanic move from us to the world ..you will only know its facial display and not the content behind
 
Hapa sheria za TAXI imekuaje?
Maana UBER inamruhusu mtu yoyote mwenye gari kufanya biashara ya TAXI bila kibali chochote zaidi ya driving license yake, kwa Tanzania tunajua kuwa TAXI bubu haziruhusiwi so UBER wamelizunguka vipi hilo?
Swali zuri, itabidi waangalie jinsi ya kutatua changamoto hii
 
Google maps inafanya kazi hata bongo...ila ni kwenye zile barabara ambazo zipo tayari kwenye ramani.

Uswazi haifanyi kazi.
Nimejaribu maranyingi kutumia inagoma. SIjajua kama iko accurate kwa Dar.

Si mbaya watashawishi Google kuingiza Tanzania kwenye system.

Inaonyesha A. Kusini ndo nchi pekee kwa Afrika yenye application kwenye GPS.
 
wanajisumbua tu...nchi ishazoea kufanya mambo kishkaji ndo walete hiyo tech....boda boda kibaoooo watu wahangaikie UBER...
 
Safi sana ndiyo sheria ya mwitu lazima kika mmoja apambane"the world is not fair"
 
Another satanic move from us to the world ..you will only know its facial display and not the content behind
What is the content behind? Bcoz you speak as if you know what's behind
 
Can you imagine, hii 'think tank' ya chama haijui uber ni kitu gani alafu anasimulia ngonjera za ustawi wa viwanda!!

Hehehe. I like it. Yaani watu hatuwezi hata kulisha abiria wa ndege (yaani tunashindwa hata ku-supply mapaja ya kuku ya kutosha reliably) halafu tunaleta ngonjera za ustawi wa viwanda! Hata kuwa na usafiri thabiti wa umma na njia za waenda kwa miguu tumeshindwa, halafu tunaleta ngonjera za ustawi wa viwanda! Na baadhi yetu tunaamini tunaposimuliwa ngonjera hizi! Insane. Hii ni sawa na mpishi hajui hata kukaanga mayai halafu analeta ngonjera ya recipe ya ajabu, na wewe kama zuzu unamwamini.
 
Sidhani Kama Itafanikiwa Kwa Bongo Navyojua Mie Wabongo Watatumia Izo Free Rides Baada Ya Hapo Ndio Nitolee,,,,kwanza Asilimi 79 Ya Watu Wa Dar Es Salaam Hawajui Hata Uber Ni Nini
 
Vile Vile Uber Inahtaji Very Stable Internet Connection,,,,na Very Accurate Sensors Kwenye Simu Ya Mteja Na Dereva Sasa Kwa Simu Zenyewe Za Tecno,itel,magnus Na Bravo Sijui
 
What is the content behind? Bcoz you speak as if you know what's behind
I don't actually do that for sure. But with the respect of the area mentioned, I can hold my take for now a while as we keep our hears open
 
I don't actually do that for sure. But with the respect of the area mentioned, I can hold my take for now a while as we keep our hears open
Do want to say that the new world order is behind that!?
 
Ni hivi...kwa mfano mimi ninakuwa na ki Alteza changu.

Halafu nina download Uber partner App kwenye smart phone yangu. Nikishapewa rukhsa na Uber ya kuanza kuendesha, watu ambao nao wamepakua Uber rider App wakiomba niwafuate na kuwapeleka sehemu watakazo kwenda, naenda kuwachukua na kuwapeleka. Hizo Apps ndo zinatuunganisha.

Kwa hiyo, ni huduma ya teksi lakini ambayo inatumia zaidi teknolojia kuunganisha madereva na abiria.

Na madereza wanakuwa wanatumia gari zao ambazo hazina alama yoyote ile kama ambavyo zilivyo teksi.

Na malipo yote ni electronic...yaani hakuna cha kubadilishana pesa taslimu kama ilivyo kwenye teksi.

Rider anapojisaliji anaweka credit au debit card information zake kwenye system na akiomba ride....ride ikija na kukamilika...basi gharama atakuwa charged automatically kupitia card yake.
Hapo kwa credit card kutawakwaza wana Mzizima wengi.

NN, hivi kwa Dar isiyo na st. or road names or postal code/Zip Code hapo hatutaishia machakani kweli! Just curious
 
Back
Top Bottom