Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Lakini si tuliambiwa "As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”." My question is not whether Uber is cheaper or not. But rather what makes Uber cheaper? Is the question clear or you want me to rephrase it?

What makes uber cheaper is its business model. Uber is dependent on a high demand environment..yani watumiaji wawe wengi. So uber driver aweze kuwabeba watu wengi..hata rate zikiwa ndogo..hiyo iwe compensated na volume kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Hapa ni kama vile unamaanisha carpooling ili kugawana gharama. Siyo? Kwa hiyo utalipa zaidi kama hakuna abiria mwingine wa kugawana naye gharama za usafiri, kama naelewa vizuri. Kimsingi nauli za taxi zinabaki vilevile au kuongezeka (kutokana na ukweli kwamba Uber model itarasmisha biashara ya taxi). Unafuu unatokana na nauli hiyo kuchangiwa na abiria zaidi ya mmoja. It might then be cheaper to use Uber taxi than to drive your own car. I totally like the idea. Pengine ikapunguza foleni kutokana na kupungua magari barabarani.
 
Zactly!..even when the volume is high sometimes they increase their fair just a bit more, again...to compensate.
 
Hapa ni kama vile unamaanisha carpooling ili kugawana gharama. Siyo? Kwa hiyo utalipa zaidi kama hakuna abiria mwingine wa kugawana naye gharama za usafiri, kama naelewa vizuri. Kimsingi nauli za taxi zinabaki vilevile au kuongezeka (kutokana na ukweli kwamba Uber model itarasmisha biashara ya taxi). Unafuu unatokana na nauli hiyo kuchangiwa na abiria zaidi ya mmoja. It might then be cheaper to use Uber taxi than to drive your own car. I totally like the idea. Pengine ikapunguza foleni kutokana na kupungua magari barabarani.

Mkuu hulipi gharama zaidi ukiwa mwenyewe, it's the same fair and then I think mkiwa wengi it's even better cos you split it.(but I've never shared)

Kama nilivoongeza kwenye comment ya mbeziboy. Wanaongeza fair just a bit more, if the demand is high.
 
Hapa ni kama vile unamaanisha carpooling ili kugawana gharama. Siyo? Kwa hiyo utalipa zaidi kama hakuna abiria mwingine wa kugawana naye gharama za usafiri, kama naelewa vizuri. Kimsingi nauli za taxi zinabaki vilevile au kuongezeka (kutokana na ukweli kwamba Uber model itarasmisha biashara ya taxi). Unafuu unatokana na nauli hiyo kuchangiwa na abiria zaidi ya mmoja. It might then be cheaper to use Uber taxi than to drive your own car. I totally like the idea. Pengine ikapunguza foleni kutokana na kupungua magari barabarani.

Si maanishi carpooling per se..ingawa kwenye nchi nyingine uber wanayo huduma inaitwa uber car pool..hiyo bado haijafika dar. Ninacho maanisha ni kwamba business model ya uber inategemea kuwe na watumiaji (riders) wengi kwenye system ya uber. Kwa mfano...taxi ya kawaida ikikwambia kwamba inahitaji 30,000 kukutoa posta mpaka airport...hapo amepiga mahesabu ya mafuta ya kutoka posta mpaka airport..na mafuta ya kumrudisha kwenye kituo chake posta..plus hela ya tajiri plus faida yake yeye. Sasa kwaa business model ya uber...badala ya kukucharge 30,000..watakucharge labda 15,000..wakitegemea kwamba dereva akishamfikisha abiria airport...kuna mwingine pale pale airport ata request huduma ya kupelekwa mjini au sehemu nyingine. Then akifika huko mtu mwingine tena ata request...so on and so forth. So the business model is based on low rates but high ridership (demand).
Na kama kui alivyosema...ikifika wakati demand ni kubwa sana na madereva wachache..kunakua na price surge ambapo rate zinaongezeka..ili kuwapa motivation madereva wengine kuja online iki kumeet hiyo demand.
 
Madereva Taxi wa bongo inabidi waitumie hii kama nafasi ya kujikwamua na kupanua wigo wao wa soko.

Wakipinganana nayo itawa'cost kama wale madereva taxi wa France.

If you want to win business in modern world, you should embrace technology, the whole world is heading towards that direction.
Kenya walipingana nayo Kwa nguvu zote hawakusema ila imeshatake over NA wateja nawasikia bbc wakiifurahia Sana . Sijui inayofanya kazi ila nadhani kwetu kwa tatizo la foleni boda boda bado watakiwa juu .
 
Kwani Kenya nayo haina foleni mkuu?
 
Diamond Platnumz anawasili sasa
VIEW EMAIL IN ENGLISH❯

Kwa kusheherekea uzinduzi wetu jijini Dar es Salaam, tumeungana na Diamond Platnumz ambaye atakua dereva WAKO jumamosi hii! Msanii huyu wa kimataifa atakua tiyari kukuchukua mahali popote na kukupeleza popote uendapo!! Tuamini, huta taka kukoswa!

Jinsi gani unaweza kupata ride na mwanamuziki maarufu wa mji wako? Itisha Uber na upate nafasi ya kushinda - ni rahisi!

Fungua Application yako ya Uber na kisha ingiza promo code MOVETANZANIA. Mbali na kubahatika kukutana na Diamond Platnumz, pia utajipatia tripu 6 za bure mpaka Jumapili saa SITA USIKU.

INAVYOFANYA KAZI
  • Itisha safari siku ya Jumamosi June 18 kati ya saa NANE MCHANA hadi saa KUMI NA MOJA JIONI

  • Watumiaji watakao bahatika kuendeshwa na Diamond Platnumz,watatozwa gharama za kawaida za uberX

  • Mahitaji yatakua makubwa, hivyo basi usipo mpata Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza, kamilisha tripu kisha jaribu tena muda mfupi baada ya hapo
 
Ni hivi...kwa mfano mimi ninakuwa na ki Alteza changu.

Halafu nina download Uber partner App kwenye smart phone yangu. Nikishapewa rukhsa na Uber ya kuanza kuendesha, watu ambao nao wamepakua Uber rider App wakiomba niwafuate na kuwapeleka sehemu watakazo kwenda, naenda kuwachukua na kuwapeleka. Hizo Apps ndo zinatuunganisha.

Kwa hiyo, ni huduma ya teksi lakini ambayo inatumia zaidi teknolojia kuunganisha madereva na abiria.

Na madereva wanakuwa wanatumia gari zao ambazo hazina alama yoyote ile kama ambavyo zilivyo teksi.

Na malipo yote ni electronic...yaani hakuna cha kubadilishana pesa taslimu kama ilivyo kwenye teksi.

Rider anapojisaliji anaweka credit au debit card information zake kwenye system na akiomba ride....ride ikija na kukamilika...basi gharama atakuwa charged automatically kupitia card yake.
Zoezi flan simple ila KWA BONGO yetu mmmh...
let's the contest begin
 
Naona wameanza full force, mpaka na Mondi.
 
alhamisi nimetumia uber kwa mara kwanza bure. it was niiiice
 
Uber itafanikiwa tu hapo malipo Kwa Mpesa au cash. Siyo watanzania wengi wanatumia credit card.(Nadhani Nairobi ipo option ya malipo by cash au mpesa)
Uber takes cash payments in many markets. You choose how to pay. Either you can maintain a balance in your account or use alternate means cash included.
 
Back
Top Bottom