Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
local partner wao ni nani?
nimeitumia leo,
its very affordable aloo,
from posta to Survey nimelipa 10,000 tuu, huduma zao kwa kweli ni nzuri, ila naona iwe rai kwa madereva Tax wajiunge kwenye hii kitu kwan in the future naona watu wengi sana watahamia kwenye hii huduma.
affordable, secure an huduma ni nzuri sanaa.
Kuanzia mwezi ujao Uber wanaingia kwenye bajaji.Wakijipanga vizuri hata Bodaboda wanaweza ku operate na hii system.
Kuna biashara moja muhimu sana ONLINE na kongwe sana.. naomba ije bongo...!! Madad.a poa waanze kujiweka online, mbona nchi nyingi sana wanajiweka online wadada wazuri na ni biashara halali na serikali inapata kipato kikubwa sana..!! Sijui lini wataanza..!! Napenda sana hii ianze, itasadia sana ajira na huduma itakuwa nzuri sana..!! Wateja tuko wengi sana...!!
Mkuu hili bandiko lako si ingefaa ulipeleke huko kwenye jukwaa la mahusiano na mapenzi?
Hapa hapa, sbb hii biashara inahitaji utashi wa kisiasa ili iwe RASMI... sbb sasa hv iko locally tu... na inafanywa sana.. kheri kuhalalisha Serikali ipate kodi na wateja wapate huduma legally..!!
Ww umejua haya ni mapenzi tu wakati ni siasa na biashara ndani yake... hujui hilo..? Hii ni biashara muhimu sana..
nimeitumia leo,
its very affordable aloo,
from posta to Survey nimelipa 10,000 tuu, huduma zao kwa kweli ni nzuri, ila naona iwe rai kwa madereva Tax wajiunge kwenye hii kitu kwan in the future naona watu wengi sana watahamia kwenye hii huduma.
affordable, secure an huduma ni nzuri sanaa.
Mkuu mie nimetumia leo...full AC..dereva kavalia suit ya ukweli...na maji ya kunywa nimepewa. Mbezi beach-knyama buku5. Kwa mwendo huu naona gari yangu nikiitoa labda weekend tu. Halafu inaonekana hujaweka promocode ya move tanzania...unaenda safari 6 bure..mradi bill isizidi 12,000. Inamaana hata hiyo elfu 10 usingelipa
Kama mteja halipi cash au MPESA police atawahonga nn dreva ? Na taili likichomoka anafanyaje dreva na huku hana cash, tumezoe kabla ya trip dreva anasema nipe hela niweke mafta sasa hapo itAkuwaje
Pengine teksi bubu haziruhusiwi kwa mazingira ya ukwepaji kodi na uhalifu. Uber kodi itaweza kutozwa na kwa hizo app zao, abiria na safari yake vyote vinawe kufuatiliwa.Hapa sheria za TAXI imekuaje?
Maana UBER inamruhusu mtu yoyote mwenye gari kufanya biashara ya TAXI bila kibali chochote zaidi ya driving license yake, kwa Tanzania tunajua kuwa TAXI bubu haziruhusiwi so UBER wamelizunguka vipi hilo?
Cc Zungu Pule
Hii nilimaanisha.
Ni kweli, ni muhimu tukajua ni kipi kinaifanya UBER iwe bei nafuuLakini si tuliambiwa "As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”." My question is not whether Uber is cheaper or not. But rather what makes Uber cheaper? Is the question clear or you want me to rephrase it?