Hapo kwa credit card kutawakwaza wana Mzizima wengi.
NN, hivi kwa Dar isiyo na st. or road names or postal code/Zip Code hapo hatutaishia machakani kweli! Just curious
Cheaper. Explain please.
Wana ofisi zao Posta mkabala na office za Ethiopian airwayslocal partner wao ni nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Can you imagine, hii 'think tank' ya chama haijui uber ni kitu gani alafu anasimulia ngonjera za ustawi wa viwanda!!
Mkuu fafanua vizuri ni kitu gani hicho wengine hatujui
Dada hyo unayosema ipo. Watu walivyowaza kama wew wakafanyia kazi wazo lao.Tunapoelekea hadi machangudoa watakuwa na app yao
Nimejaribu maranyingi kutumia inagoma. SIjajua kama iko accurate kwa Dar.
Si mbaya watashawishi Google kuingiza Tanzania kwenye system.
Inaonyesha A. Kusini ndo nchi pekee kwa Afrika yenye application kwenye GPS.
Hapo kwa credit card kutawakwaza wana Mzizima wengi.
NN, hivi kwa Dar isiyo na st. or road names or postal code/Zip Code hapo hatutaishia machakani kweli! Just curious
Binafsi nimejaribu kusachi kama inaona. Inaonyasha points tu. Ila GPS haionyeshi.Umejaribu kuitumia wapi?
Hebu jaribu kuitumia kutoka mjini kwenda Mlimani city, kwa mfano.
Au jaribu kutoka Mbezi Beach kwenda Ubungo....najua inafanya kazi kwa sababu nimeshaitumia.
Ndo maana CRDB wamekuja na kadi mpya za online payment. Hizi zitaokoa sana. Hata vibaka watapotea wa mifukoni.Ndo hapo sasa!
Mtu unaweza ukajikuta unaishia Mabwepande bure.
Yaani sijui hata wamejiandaa vipi na changamoto zilizopo maana ni nyingi mno.
Binafsi nimejaribu kusachi kama inaona. Inaonyasha points tu. Ila GPS haionyeshi.