n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,007
- 2,675
June 15, 2016
Uber has officially launched its services in Dar es Salaam, Tanzania. This is the 9th African country and 475th city on Uber’s global network.
As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”.
Uber has been spreading across Africa this year so far. They launched in Ghana last week, and Uganda two weeks ago. Again, I’m wishing Uber the best in this new African country.
=======
Nini hatma ya Bodaboda, Bajaj na Taxi jijini Dar?
=======
Kwa wanaouliza kuhusu Uber:

Uber Technologies Inc. is an American multinational online transportation network company headquartered in San Francisco, California. It develops, markets and operates the Uber mobile app, which allows consumers with smartphones to submit a trip request which is then routed to Uber drivers who use their own cars.
Mtandao wa kampuni za Usafiri kwa njia ya TEHAMA (UBER), yenye matawi yake jijini Francisco Marekani, umezindua programu ya maalum ya simu na kompyuta itakayowaunganisha madereva na wasafiri wao hapa nchini.
Meneja wa kampuni hiyo Alon Lits, amesema, juhudu za kufungua progamu hii nchini Tanzania, ni kufuatia ukuaji wake kiuchumi, ambapo vitendo vya wizi, kuvamiwa na kupoteza mizigo havitakuwepo tena.
Kwa Tanzania ni nchi ya pili kati Afrika mashariki kuingizwa kwa huduma hii ikitanguliwa na Nairobi nchini Kenya, ambapo imefanikiwa kwa kiwango cha juu.
Wakati wa uzinduzi wa huduma hii hapa nchini, Bwana Lits alisema kuwa "Utumiaji wa huduma hii utamuhitaji mtu kupakua programu hii kwenye simu au kompyuta itakayompa maelekezo ya moja kwa moja kuwasiliana na dereva ili afuatwe sehemu alipo, hakuna haja tena ya kuhangaika kusubiri magari kwa muda mrefu."
Naye ofisa mawasiliano wa kampuni hiyo Bwana Samantha Allenberg, aliongeza kuwa, UBber itamwezesha mtu kutafuta usafiri huku akiwa sehemu yoyote ile hata nyumbani au ofisini kwa kutumia GPS ili kumwezesha dereva kufika mahali anapotakiwa kumkuta mteja wake.
Chanzo: Mwananchi