Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

Ni hivi...kwa mfano mimi ninakuwa na ki Alteza changu.

Halafu nina download Uber partner App kwenye smart phone yangu. Nikishapewa rukhsa na Uber ya kuanza kuendesha, watu ambao nao wamepakua Uber rider App wakiomba niwafuate na kuwapeleka sehemu watakazo kwenda, naenda kuwachukua na kuwapeleka. Hizo Apps ndo zinatuunganisha.

Kwa hiyo, ni huduma ya teksi lakini ambayo inatumia zaidi teknolojia kuunganisha madereva na abiria.

Na madereza wanakuwa wanatumia gari zao ambazo hazina alama yoyote ile kama ambavyo zilivyo teksi.

Na malipo yote ni electronic...yaani hakuna cha kubadilishana pesa taslimu kama ilivyo kwenye teksi.

Rider anapojisaliji anaweka credit au debit card information zake kwenye system na akiomba ride....ride ikija na kukamilika...basi gharama atakuwa charged automatically kupitia card yake.
Vipi kodi ya serikali na leseni ya kufanya hiyo biashara!!? Au ni njia mpya ya kukwepa mamlaka za serikali!?
 
Ubbber wataingia hadi mitaa ya uswahilini kweli, maana mita zao zinaweza kushindwa kusoma kwenye barabara mbaya.
Na hivi mitandao inavyokua kua mahali hawataingia kweli mkuu? mi naona kitu ambacho hakiingii chochoro ni bbunge letu tu
 
Dunia ya sasa da ukiwa mvivu kutafuta pesa utaishia kupongeza maendeleo ambayo hayakusaidii.

Mara Netflix Mara uber mara MasterCard yaani technology goes hand in hand with money.Yaani tuvitu tuzuri.Ila pesa babaaaaa.
 
June 15, 2016

Uber-app.png


Uber has officially launched its services in Dar es Salaam, Tanzania. This is the 9th African country and 475th city on Uber’s global network.

As usual, users in Dar es Salaam will enjoy six free rides for three days. The code is “MoveTanzania”.

Uber has been spreading across Africa this year so far. They launched in Ghana last week, and Uganda two weeks ago. Again, I’m wishing Uber the best in this new African country.

=======

Nini hatma ya Bodaboda, Bajaj na Taxi jijini Dar?

=======

Kwa wanaouliza kuhusu Uber:

Uber Technologies Inc. is an American multinational online transportation network company headquartered in San Francisco, California. It develops, markets and operates the Uber mobile app, which allows consumers with smartphones to submit a trip request which is then routed to Uber drivers who use their own cars.​

Taxi driver wa TZ wako rigid sana.

Kuna hii MOBILE APP ya kibongo inawezasaidia kunyanyua soko la taxi zetu pia.

Imekula kwao sasa.
 
Wewe mwenyewe. Ndo maana naona changamoto kwa Tanzania zitakuwa ni nyingi mno kiasi cha kufanya watu wasifanye hiyo biashara.

Uber ni business model ambayo inaweza kufanya kazi vizuri kwenye mazingira ya kueleweka.

Unless labda kila wanapoenda wanakuwa na tailored approach kulingana na sehemu yenyewe.
Nyani Ngabu

Sisi tunayo hii app kwaajili ya ku improve huduma ya TAXI nchini TZ, nadhani UBER watasumbua kidogo.
 
Hii kitu safi sana, inahusu sana kwenda kutolea mahari, au kumpigia misele demu mgumu kuliko woote, manake ni full kupanda gari za ukweli
 
Tunahitaji challenges kama hizi, kuchangamka na kuweka brain active. Kila siku tuwe nyuma tu kwa hofu ya mabadiliko?!, that's lame!

Hatuko nyuma dada!

Tulishaanzisha simple mobile app (HII HAPA) kama hii nchini Tanzania, lakini drivers wako rigid sana.
Nadhani sasa watakumbuka shuka kumekucha.

Nimefurahi kuona challenge ya IT imeingia katika huduma ya usafiri.
 
Uber wako sawa sana kwa hili maana kila kitu kwenye mtandao kuanzia bei na mteja kumfikia alipo na barabara pia.
 
Ni wazo zuri sana. Wakishua ndo watakaokua wanatumia.
Wale wa tandale kwa mfuga mbwa haitawafaa.
 
Dunia ya sasa da ukiwa mvivu kutafuta pesa utaishia kupongeza maendeleo ambayo hayakusaidii.

Mara Netflix Mara uber mara MasterCard yaani technology goes hand in hand with money.Yaani tuvitu tuzuri.Ila pesa babaaaaa.

Actually, teknolojia inarahisisha maisha. Na hakuna gharama yeyote ya ajabu unayoingia ukitumia hizo huduma.
 
Jane umenipa wazo. Ngoja nilifanyie kazi.

Kama una input zaidi nitumie PM.

Mimi ni SOFTWARE ENGINEER, natumia fursa.
Sema hiyo biashara ni illegal kwa hapa tz,ingekuwa official ungeweza kudevelop app ambayo inawakutanisha watoa huduma na wateja ungekuwa new millionaire,wateja wa mambo hayo ni wengi Sana.[emoji1]
 
Back
Top Bottom