Ubaya wa Ruge kwa mbunge Sugu wadhihirika

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Baada ya ile shoo ya jana kufana sana pale mbunge Sugu alipo uhakikishia umma wa wapenda muziki wa kizazikipya kuwa watu wanapenda vya nyumbani na niwazalendo waukweli. nimechukizwa sana na kitendo cha clouds na Ruge kuhadaa wapenzi wa muziki na watanzania kwa ujumla, clouds wakiwa na shoo ya mwanamuziki kuto nje na hatakama ni wanyumbani huwa wanachukua hata mwezi mzima kufanya promo, chakushangaza huo ujio wa DMX hata haukuchukua wiki mbili. nimatumaini yangu kuwa wasanii wote wa bongo wameona ukweli uko wapi, tujifunze kuvipenda vyetu jamani ndipo wengine nao watapata hamu yakuvipenda pia.

Hivi Ruge alikaa na nani akamshauri kufanya mambo ya kipuuzi kama alivyofanya???itakua vipi kama dmx ataamua kulivalia njuga suala zima lakuhusishwa kwenye issue asiyoijua..,wenzetu wanauchukulia muziki kama sehemu ya uchumi wao,tofauti na ruge na clouds wanapo fanya u kanjanja kujinufaisha wao binafsi na kuhujumu wengine kanakwamba bila wao msanii wa bongo hawezi toka.watangazaji wa clouds mnatumika vibaya hilo halina ubishi, basi nanyie tumieni akili zenu kufikiri sio ruge afikiri kwa niaba yenu, tafadhalini sana watanzania wa leo sio wale wa mwaka arobaini na saba
 



wewe... shoo ya clouds ilifunika bana....! cheki umati hapa https://www.jamiiforums.com/entertainment/197285-vinegaaaass-ili-funikaaaa-ile-mbaayaaa-2.html


SUGU aachane na ruge arudi jimboni kutumikia wananchi wake... hawakuchagua kuja DSM kushindana na Ruge


acha kudanganya wana-JF redio ya wafu pamoja na ruge jana mmeaibika.....

Tahadhari kwa wana JF wote, huyu aliepost bandiko hili ndio wale VIRUS tunaowascan, hizi picha sio za show ya jana ya clouds, jana Fally Ipupa alikuwa na show Washington DC Marekani.
wasengge kama hawa ni wa kupuuzwa, hakuna mtu yeyote ambaye yuko Dar ambaye hajui aibu waliopata kwa mara ya kwanza Redio ya wafu pale Leaders club, na hata huyo mla unga DMX amewatosa hakuja kwenye show ya kishamba.

alitaka kudanganya asante sana...
 
Hahahahahaaa...clouuudz kitu cha makameruni.....hivi huto ruge mshauri wake ni kibonde unategemea nn hapo!,,,
 
Ruge asipokuwa makini Clouds FM inaweza kuja kuwa sehemu ya kuuza supu ya makongoro! (samahani kwa mtu yeyote anayeuza supu ya makongoro). Ni hatari sana kuingiza biashara ya chombo cha habari kwenye mgogoro unaogusa wateja (wasikilizaji). Ruge anaweza kujifariji kuwa yuko karibu na wakubwa i.e Magogoni, lakini akumbuke Magogoni ni kwa awamu pindi muda ukiisha atakuwa hana pa kujishika, na wakati huo sumu itakuwa imesambaa kila mahali.

Ruge kama unasoma hapa, grow up, be a gentleman & concentrate on your business - kama bado unaipenda biashara yako!. Wewe sio malaika, haiwezekani hauna hatia kwenye huu ugomvi. Na huwezi kugombana na Sugu bila kugombana na wasikilizaji wako wengi. Na hata hao wanamzuki wanaokulamba miguu wananfanya hivyo mbele ya uso wako, nje ya hapo they hate you with passion, wanaamini (kweli au si kweli) kuwa unanyanyasa wanamzuki.
 
ruge asipokuwa makini clouds fm inaweza kuja kuwa sehemu ya kuuza supu ya makongoro! (samahani kwa mtu yeyote anayeuza supu ya makongoro). Ni hatari sana kuingiza biashara ya chombo cha habari kwenye mgogoro unaogusa wateja (wasikilizaji). Ruge anaweza kujifariji kuwa yuko karibu na wakubwa i.e magogoni, lakini akumbuke magogoni ni kwa awamu pindi muda ukiisha atakuwa hana pa kujishika, na wakati huo sumu itakuwa imesambaa kila mahali.

Ruge kama unasoma hapa, grow up, be a gentleman & concentrate on your business - kama bado unaipenda biashara yako!. Wewe sio malaika, haiwezekani hauna hatia kwenye huu ugomvi. Na huwezi kugombana na sugu bila kugombana na wasikilizaji wako wengi. Na hata hao wanamzuki wanaokulamba miguu wananfanya hivyo mbele ya uso wako, nje ya hapo they hate you with passion, wanaamini (kweli au si kweli) kuwa unanyanyasa wanamzuki.

nakubaliana na usemi usemao "ukiona mambo magumu jifanye chizi" na kumbuka mtu hupotea wakati wa kwenda siyo kurudi. Sugu angalia mbeya sisi siyo wasanii
 
acha kudanganya wana-JF redio ya wafu pamoja na ruge jana mmeaibika.....



alitaka kudanganya asante sana...
na hawa ndio aina ya wasanii waliokuwepo kwenye tamasha lao lililododa.
316710_124060024372690_100003060783008_128462_96337878_n.jpg
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho wake. RUGE you can fool some people sometimes,but you can't fool all the people all the time.
Wakati sasa umewadia,watu wamezinduka.
 
nakubaliana na usemi usemao "ukiona mambo magumu jifanye chizi" na kumbuka mtu hupotea wakati wa kwenda siyo kurudi. Sugu angalia mbeya sisi siyo wasanii

Kandoro anaweza kuwa na mawazo mbadala - ushuhuda!
 
na hawa ndio aina ya wasanii waliokuwepo kwenye tamasha lao lililododa.
316710_124060024372690_100003060783008_128462_96337878_n.jpg

hivi we sele zinafanya kazi kweli?na huu ndio mwanzo wako wa kufulia usifikili kuvua nguo jukwani ndi kujenga umaalufu kumbuka mashabiki unatuboa
 
luge ungeomba ushauli kwanza kwa kandoro akweleze yaliyo tokea mbeya.nafikili umejifunza sasa.***** weeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom