ukusoma hotuba ya tundu lisu utaona madudu yaliyomo humo..
baada ya kupitia vipengele umeona hauna tatizo lolote? au unataka wengine wakiona ndio wakuoneshe?

Mambo yafuatayo:
1. Mswaada umempa raisi nafasi ya kidikteta ktk kusimamia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba. yeye ndo anasimamia kila kitu. Haujatoa nafasi ya uwakilishi wa kidemokrasia katika process hiyo.
2. Zanzibar wamepewa nafasi kubwa ya uwakilishi katika mchakato, kwa karibu kiwango sawa na serikali ya muungano; je, Tanganyika uwakilishi wao uko wapi? Je, serikali ya muungano ndiyo ya Tanganyika? Kama ndo ya Tanganyika, je wazanzibari wanaingia kufanya nini kwenye mambo ya watanganyika? Mbona watanganyika hawakuhusishwa wakati wazanzibari wanatengeneza katiba yao?
3. Mswaada huu haukupaswa kusomwa kwa mara ya pili bungeni. Ulipaswa kusomwa kwa mara ya kwanza. Ule ulioletwa mwezi April ulikataliwa, na serikali ikauondoa bungeni. Serikali ikaenda kuandaa mswaada mpya, ambao ndo huu ulioletwa bungeni. Hai-make sense kuswoma kwa mara ya pili wakati ule wa mwanzo ulikatiliwa na kuondolewa.
Unataka wamuonyeshe nani na wapi?Kama wanaona kuna tatizo waonyeshe? naam.

Unataka wamuonyeshe nani na wapi?
3. Nimesema tukiacha malumbano ya kusomwa mara ya kwanza na ya pili
hapo ndipo kwenye problem. madai ya kimsingi ya cdm munayaita malumbano. haramu ni haramu tu. haitapita au hata ikipita haitadumu.
1. Process ya kidemokrasia ingekuwa kivipi kwa mfano? ambayo unafikiri haitakuwa ya kidikteta??
2. Zanzibar kupewa nafasi kubwa inainyima vipi Tanganyika haki zipi? kwa mfano??? lipi Tanganyika itaikosa??
3. Nimesema tukiacha malumbano ya kusomwa mara ya kwanza na ya pili maana nataka nifahamu tatizo la muswada kama ulivyo una shida gani kwa wananchi kupata katiba nzuri??
Mambo yafuatayo:
1. Mswaada umempa raisi nafasi ya kidikteta ktk kusimamia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba. yeye ndo anasimamia kila kitu. Haujatoa nafasi ya uwakilishi wa kidemokrasia katika process hiyo.
2. Zanzibar wamepewa nafasi kubwa ya uwakilishi katika mchakato, kwa karibu kiwango sawa na serikali ya muungano; je, Tanganyika uwakilishi wao uko wapi? Je, serikali ya muungano ndiyo ya Tanganyika? Kama ndo ya Tanganyika, je wazanzibari wanaingia kufanya nini kwenye mambo ya watanganyika? Mbona watanganyika hawakuhusishwa wakati wazanzibari wanatengeneza katiba yao?
3. Mswaada huu haukupaswa kusomwa kwa mara ya pili bungeni. Ulipaswa kusomwa kwa mara ya kwanza. Ule ulioletwa mwezi April ulikataliwa, na serikali ikauondoa bungeni. Serikali ikaenda kuandaa mswaada mpya, ambao ndo huu ulioletwa bungeni. Hai-make sense kuswoma kwa mara ya pili wakati ule wa mwanzo ulikatiliwa na kuondolewa.
hata kama tukikueleza hutaelewa,hata kama tukikupa mfano bado hutaelewa na tukikuliza swali kwa nini unajidai hujui kusoma na hutaki hata kuangalia picha? huwezi kutupa jibu.
@TOPICAL, Wahenga walisema asiyejua maana haambiwi maana, so kama wee huoni tatizo, pamoja namaelezo yote aliyotoa LISSU katika mswada huu, hata ukionyeshwa hutoliona. Bora ukae utulie kuliko kuendelea kutafuta maana ambayo hata ukinyeshwa hutaelewa. MTOTO ANAYENYONYA HAPEWI KONGORO ATAFUNE!