Kongamano la TLS juu ya Muswada wa Sheria za uchaguzi ni moto , Mbowe adai muswada huo ni matusi kwa dunia nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,718
218,264
TLS wanaendesha kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya uchaguzi wa Rais wabunge na madiwani , muswada huu umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni .

Miongoni mwa wazungumzaji wamo Freeman Mbowe na Tundu Lissu , hakika sijawahi kuona mjadala moto kama huu kwa kipindi kirefu mno.

Mbowe hajamung'unya maneno , amesema ccm haina dhamira ya kweli ya kuboresha sheria za uchaguzi , na kwamba lengo lao kubwa ni kudanganya dunia kwamba wanafanya mabadiliko , huku ni uongo mtupu , ameuita muswada huu kuwa COSMETICS na kwamba muswada huu ni matusi ya nguoni kwa watanzania wote na ni matusi kwa kila mpenda demokrasia duniani .

Akichangia kwenye kongamano hilo Tundu Lissu amedai kwamba , Muswada uliopelekwa Bungeni haujagusa matatizo ya uchaguzi , huku akisema tatizo kubwa la Uchaguzi wa Tanzania ni kuwepo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kama Wasimamizi wa Uchaguzi , hili ndio tatizo la kwanza kwenye chaguzi zote za Tanzania tangu 1995 , bila kuondoa huo uchafu ni kazi bure .

Juhudi za kuweka video zinaendelea , ni uhondo mtupu !
 
Mbowe hajamung'unya maneno , amesema ccm haina dhamira ya kweli ya kuboresha sheria za uchaguzi , na kwamba lengo lao kubwa nibkudanganya dunia kwamba wanafanya mabadiliko , huku ni uongo mtupu , ameuita muswada huu kuwa COSMETIC na kwamba muswada huu ni matusi ya nguoni kwa watanzania wote na ni matusi kwa kila mpenda demokrasia duniani .

Nilivyouona ule mswada, hakika nimeamini Rais Samia ni mnafiki na wala hawezi kuaminika na mtu yeyote mwenye akili timamu.

Mswada kama ule, kuna nini cha msingi kilichobadilika, kama siyo kuzidi kuwadharau Watanzania?
 
Mjumbe mmoja amedai kwamba kumbe hata ile ya kwamba wajumbe wa kamati kuu hawapaswi kuingia kwenye baraza kuu ikiwa kuna rufaa , ni miongoni mwa mapendekezo kwenye muswada mpya uliosomwa bungeni , Mjumbe huyo ameshangaa jambo kama hili kuingizwa kwenye muswada ili kuikomoa Chadema tu , haamini kama hili linaweza kutimizwa na Mwenyekiti wa ccm, yaani umzuie Hangaya kuongoza Mkutano Mkuu wa ccm kwa vile eti kuna rufaa ya Sophia Simba !
 
Nilivyouona ule mswada, hakika nimeamini Rais Samia ni mbafiki na wala hawezi kuaminika na mtu yeyote mwenye akili timamu.

Mswada kama ule, kuna nini cha msingi kilichobadilika, kama siyo kuzidi kuwadharau Watanzania?
Kwa jicho la 3 Samia haongozi nchi , wako wanaoongoza juu yake , huyu ni geresha tu , Wallah Wabhillah !
 
TLS wanaendesha kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya uchaguzi wa Rais wabunge na madiwani , muswada huu umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni .

Miongoni mwa wazungumzaji wamo Freeman Mbowe na Tundu Lissu , hakika sijawahi kuona mjadala moto kama huu kwa kipindi kirefu mno.

Mbowe hajamung'unya maneno , amesema ccm haina dhamira ya kweli ya kuboresha sheria za uchaguzi , na kwamba lengo lao kubwa nibkudanganya dunia kwamba wanafanya mabadiliko , huku ni uongo mtupu , ameuita muswada huu kuwa COSMETIC na kwamba muswada huu ni matusi ya nguoni kwa watanzania wote na ni matusi kwa kila mpenda demokrasia duniani .

Akichangia kwenye kongamano hilo Tundu Lissu amedai kwamba , Muswada uliopelekwa Bungeni haujagusa matatizo ya uchaguzi , huku akisema tatizo kubwa la Uchaguzi wa Tanzania ni kuwepo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kama Wasimamizi wa Uchaguzi , hili ndio tatizo la kwanza kwenye chaguzi zote za Tanzania tangu 1995 , bila kuondoa huo uchafu ni kazi bure .

Juhudi za kuweka video zinaendelea , ni uhondo mtupu !
Hadi itungwe sheria ya kuizuia ccm kushiriki kwenye uchaguzi ndio chadema wataona imetungwa sheria nzuri ya uchaguzi.
Unaizuia vipi ccm kugombea? Kwa mfano unaweka kifungu '..hakuna chama kinaruhusiwa kuongoza nchi kwa misimu zaidi ya miwili mfulilizo na inaanzia muda uliyomalizika'😂.. Yaani chadema hawaamini kama hua wanashindwa na ccm kwa hivyo wanatafuta kuiondoa madarakani kwa katiba badala ya uchaguzi🤣😂
 
Hadi itungwe sheria ya kuizuia ccm kushiriki kwenye uchaguzi ndio chadema wataona imetungwa sheria nzuri ya uchaguzi.
Unaizuia vipi ccm kugombea? Kwa mfano unaweka kifungu '..hakuna chama kinaruhusiwa kuongoza nchi kwa misimu miwili mfulilizo na inaanzia muda uliyomalizika'😂.. Yaani chadema hawaamini kama hua wanashindwa na ccm kwa hivyo wanatafuta kuiondoa madarakani kwa katiba badala ya uchaguzi🤣😂
Mtaji wa ccm ni watu wajinga kama wewe
 
Hakika nchi yenye mataahira wengi kama wewe itabaki maskini milele
 
Wananchi ccm tukiwakosa 2025 itakua pigo kubwa sana kwetu,
 
TLS wanaendesha kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya uchaguzi wa Rais wabunge na madiwani , muswada huu umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni .

Miongoni mwa wazungumzaji wamo Freeman Mbowe na Tundu Lissu , hakika sijawahi kuona mjadala moto kama huu kwa kipindi kirefu mno.

Mbowe hajamung'unya maneno , amesema ccm haina dhamira ya kweli ya kuboresha sheria za uchaguzi , na kwamba lengo lao kubwa ni kudanganya dunia kwamba wanafanya mabadiliko , huku ni uongo mtupu , ameuita muswada huu kuwa COSMETICS na kwamba muswada huu ni matusi ya nguoni kwa watanzania wote na ni matusi kwa kila mpenda demokrasia duniani .

Akichangia kwenye kongamano hilo Tundu Lissu amedai kwamba , Muswada uliopelekwa Bungeni haujagusa matatizo ya uchaguzi , huku akisema tatizo kubwa la Uchaguzi wa Tanzania ni kuwepo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kama Wasimamizi wa Uchaguzi , hili ndio tatizo la kwanza kwenye chaguzi zote za Tanzania tangu 1995 , bila kuondoa huo uchafu ni kazi bure .

Juhudi za kuweka video zinaendelea , ni uhondo mtupu !
Hayo maneno anayarudia kila mara tuna mkumbusha lile buyu la asali agawiye wengine warambe nao!
 
Back
Top Bottom