Ubani una uhusiano gani na mambo ya roho/imani?

Ubani una uhusiano gani na mambo ya roho/imani?

Ebr 8:10-13

10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

Unazungumzia sheria, ninazungumzia ibada ya kuongea, kufikisha maombi na sadaka zetu kwa Mungu. Padre anavyogeuza mkate na divai kuwa mwili na damu ya Yesu kufuata maelekezo Yake mwenyewe aliposema "fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu", ubani hufikizwa.
Yesu pia aliletewa zawadi ya Ubani/Uvumba alivyo kuwa kachanga; wataalamu wanasema ilimaanisha 'ukuhani mkuu'.
Ufunuo wa Yohana alifunuliwa kuwa Malaika anafukiza ubani. So ubani ipo sana kwenye agano jipya sijaona hapo kwa Paulo alipowaandikia Waebrania akisema ibada (ritual) ya ubani haifai.
 
Kuchoma Ubani(Mavumba) ni mwendelezo wa matendo ya Kiyaudi ambayo bado yanaendelezwa na Kanisa Katoliki. Pia Anglikana na Lutherani pia wanachoma ubani(mavumba).
Kanisa Katoliki linatafsiri ule moshi was Ubani(Mavumba) ni kuonyesha maombi ya sala takatifu jinsi yanavyopaa kwenda mbinguni. Ukisoma Zaburi 141(140):2, utaona uhainisho wa niliyoyaeleza hapo juu.
Pia ubani(mavumba) yanatumika kama utakaso hasa palae yanapoelekezewa kwa mtu au vitu lakini lazima kile kinubi kirushe mara tatu kuwakilisha utatu mtakatifu. Vilevile inatumika kwenye maombi ya watakatifu, Ufunuo 5:8 na Ufunuo 8:3-5.
Ila siwezi kudiliki kusema inahusiana na spirits.

Nisamehe, nimechelewa sana kushukuru juu ya mchango wako uliosheheni ujuvi wa hilo. Na hasa kwenye kufukiza mara 3. I wish viongozi wetu wangekuwa wanaenda hatua zaidi ya kutuelimisha ili tuweze kuzama na kushiriki kikamilifu ibada ya misa takatifu. Yaani the way things are, tunachukulia poa sana ibada ya misa, ilhali watu wale wale wakienda kwa mganga hunynyekea, kutetemeka na kuogopa wakihisi kuna uwepo wa nguvu kuu; wakati kanisani ni Nguvu Kuu zaidi.

Ubarikiwe sana.
 
Una maoni gani kuhusu kuweka picha na statue of cruxified Christ ndani ya baadhi ya makanisa? Hili ni jambo ambalo huwa linanitatiza sana. Huoni kuwa inapingana na amri ya kwanza?
 
Una maoni gani kuhusu kuweka picha na statue of cruxified Christ ndani ya baadhi ya makanisa? Hili ni jambo ambalo huwa linanitatiza sana. Huoni kuwa inapingana na amri ya kwanza?

Una mke? Picha yake hujaiweka ofisini au sebuleni kwako au pengine kwenye wallet? Ni ya kazi gani? Hujawahi ibusu?

Sijaona picha, sanamu ya Mungu kanisani. Nimeona sanamu na picha ya Ubinadamu wa Yesu Kristu ambaye aliishi kati ya watu na watu hawakufa (maana tunaambiwa ukimuona Mungu unakufa).

Sina tatizo kabisa na picha ya Yesu na kiukweli imenisaidia kuanzia nilivyokuwa mdogo kupata picha ya mateso na nini Yesu alikipitia ili kutukomboa, na sijawahi kufikiri ile picha ni Mungu na hivyo kuchukua nafasi ya Mungu. Sana imenisaidia kuujua Upendo wa Mungu kwa wanadamu hadi kuruhusu Mwanawe to go all thru that for unworthy creature like me.
 
Asante kwa mchango wako.
Labda naweza-rephrase nilichokuwa nataka kupata elimu na muongozo zaidi. Kinachonitatiza sana ni pale watu wakipita madhbahuni na ku-bow/kusujudia sanamu ya Christ. Huwa napata maswali mengi zaidi na majibu sipati. Kinachoniingia akilini ni kuwa tuna-violate amri ya kwanza
 
Nisamehe, nimechelewa sana kushukuru juu ya mchango wako uliosheheni ujuvi wa hilo. Na hasa kwenye kufukiza mara 3. I wish viongozi wetu wangekuwa wanaenda hatua zaidi ya kutuelimisha ili tuweze kuzama na kushiriki kikamilifu ibada ya misa takatifu. Yaani the way things are, tunachukulia poa sana ibada ya misa, ilhali watu wale wale wakienda kwa mganga hunynyekea, kutetemeka na kuogopa wakihisi kuna uwepo wa nguvu kuu; wakati kanisani ni Nguvu Kuu zaidi.

Ubarikiwe sana.
Mkuu Kaunga, "You Have The Powers!". Karibu unitembelee hapa!.[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...[/h]Pasco
 
Asante kwa mchango wako.
Labda naweza-rephrase nilichokuwa nataka kupata elimu na muongozo zaidi. Kinachonitatiza sana ni pale watu wakipita madhbahuni na ku-bow/kusujudia sanamu ya Christ. Huwa napata maswali mengi zaidi na majibu sipati. Kinachoniingia akilini ni kuwa tuna-violate amri ya kwanza
Kiukweli kuna mambo yanayofanywa ndani ya nyumba zetu za ibada ni sio!. Ili ujue kama ndio au sio, nenda kajisomee biblia huku ukimuuliza Mungu kama jambo fulani ni ndio au sio!, utaisikia sauti ya Mungu ikukuambia kitu!. Tatizo kubwa ni shetani naye anayo sauti yake, na mara nyingi hupenda kujidisguise as Mungu!, hivyo kuna watu wengi wanafanya ibada za mashetani, wakiamini ndio wanamtumikia "Mungu aliye Mkuu!", kumbe ni wanamtumia "mungu aliye mkuu" bila wao kujijua!.
Pasco.
 
Kiukweli kuna mambo yanayofanywa ndani ya nyumba zetu za ibada ni sio!. Ili ujue kama ndio au sio, nenda kajisomee biblia huku ukimuuliza Mungu kama jambo fulani ni ndio au sio!, utaisikia sauti ya Mungu ikukuambia kitu!. Tatizo kubwa ni shetani naye anayo sauti yake, na mara nyingi hupenda kujidisguise as Mungu!, hivyo kuna wenge wengi wengi, wanafanya ibada za mashetani, wakiamini ndio wanamtumia "Mungu aliye Mkuu!", kumbe ni wanamtumia "mungu aliye mkuu" bila wao kujijua!.
Pasco.

Mkuu deep down nasikia nafsi ikiniambia kuna vitu vingi vinafanyika wakati wa ibaada ni makosa kutokana na kuwa Bible hai semi hivyo. Ukijaribu kuuliza unaishia kuambiwa eti ni mapokezi!!
Kuna kipindi nilikuwa nasali mwenyewe tu na Mungu wangu au naishia kumwangalia Joel Osteen
 
Tunaokolewa kwa neema!, sio kwa matendo!. Ktakachokuingiza kwenye ufalme wa mbingu ni nafsi yako, sio kanisa, sio padiri, sio askofu, sio kardinali, sio Papa!, ni wewe mwenyewe, only you na nafsi yako!.
Unapaswa umjue Mungu
Pasco
 
Kwa maana hiyo sina haja ya kwenda tena kanisani? Niendelee tu na bible study/fellowship with prayers na kuendelea kuwa na personal relationship with my God.
Please be advised ninauliza maswali ama ku-raise hoja hizi kwa sababu huko makanisani nikiuliza sipewi majibu zaidi ya kuambiwa nisiulize. Kwa hiyo angalau JF naweza kupata mawili matatu na yakanijenga kiimani.
 
Sidhani kama unategemea sura, muundo na mfumo wa kanisa la mwanzo liwe sawa hata baada ya miaka 1900.
Hapana wala siwazi hayo achilia mbali kutegemea iwe hivyo
Labda ni Jina Katoliki ndio lenye shida hapo, kwamba kikitakiwa kuappear in early church. Lkn kama unazungumzia kanisa na ukristu, (again inategemea unamaanisha nini kwa Ukristu) tunaamini kuwa asili yake ni Kristu, alipomwambia Perto ni nwamba na juu yake ataanzisha kanisa lake. Na assignment ya kuihubiri injili (kazi kuu ya kanisa) ilutolewa siku ya pentecoste baada ya kupata nguvu ya Roho Mtakatifu.
Jina Katoliki sio tatizo kwangu hata kidogo kwenye muktadha ulioueleza hapo juu japokuwa jina hilo lina maana kuu na muhimu sana kwenye kanisa hili

Wakati Yesu anamwambia maneno hayo Mtume Petro hakuwa anamaanisha kanisa jengo kama unavyodhani bali mwili ambao ndio kanisa halisi kabisa

Suala la Pentekoste halina uhusiano wowote na kanisa katoliki,siku ya pentekonste ni siku ambayo mitume wa Yesu walijazwa na Roho Mtakatifu na kuianza rasmi kazi ya kuihubiri Injili na hakukuwa na kanisa lolote lile kama jengo

Kitendo cha Kanisa Katoliki kumuita Petro kuwa Papa wa kwanza sio cha kweli na hakuna ushahidi wowote ule wa Petro kwenda Roma,bora hata wangemuita hivyo Paulo ambae aliteuliwa na Mungu mwenyewe kuwa Mtume wa mataifa,Mtume Petro yeye alikuwa ana deal na Wayahudi tu na hakuna mahali popote pale ambapo aalionekana aki deal na watu wa mataifa
Back to Popes, sidhani pia utalinganisha papacy ya sasa baada ya mfumo na utaratibu kuwepo na kipindi cha Clemency (4th pope) aliye fariki 101ad; na huenda hata cheo hakikutumia Jina hilo lkn functions zinaonesha some sort orders na authorities (refer barua za maelekezo n.k)
Mapapa wote kuanzia "Petro" wanaedai alianza kuwa papa kuanzia 33AD hadi 67AD hadi Vigilius 537AD-555AD walikuwa wanatumia majina yao halisi na ilipofika mwaka 538AD ndipo Papa Vigilius alibadili jina na kuanza kuchagua majina maalum ambapo uki trace historia ya viongozi wa kidini kubadilisha majina na kutumia majina maaluma inaanzia Babeli

Hii kitu inanivuruga sana akili tangu siku nilipoanza kuyafuatilia haya mambo,huwa naenda kanisani mara chache sana na nikienda basi naenda kiushahidi tu.Kuna mabo mengi sana yanleta maswali kwenye kanisa katoliki

Inaonekana kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kanisa katoliki na imani ya Babeli,nadhani huwa unahudhuria njia ya msalaba wakati wa Kwaresma,baada ya kumaliza vituo vyote 14 vya njia ya msalaba Padri huwa anakwenda Altareni na kuinua kitu mfano wa msalaba chenye alama muonekano wa jua linawaka
E OmrE7vAYR0QAAAABJRU5ErkJggg==
CvME1gTAUaAcamHfSdw3yRXgknOtOAmaBAOiASOgi ly5jHOdVaWtCQvBNoASjTjsMptSZJWErtEhrnIjF9tBtzmf3oihn9BQ3KU56vD00UAAAAAElFTkSuQmCC

Kwanini kuna muonekano kama wa jua linawaka?

Nadhani utakuwa unajua kuwa watu wa Babeli walikuwa wana ibada ya miungu 36 na mungu mkuu alikuwa ni jua na ndio chanzo cha jumapili kuitwa Sun-day

Kuna alama ya All seeing eye ya Freemason nayo ina alama ya jua linawaka,je kuna mahusiano gani ya ukayoliki na Freemason?
onH UgAAAABJRU5ErkJggg==
ANxhxEXZchv AAAAAElFTkSuQmCC

Au niambie basi kanisa lililojengwa na Kristu kama alivyoahidi ni lipi?
Ni mimi na wewe !!
 
Unazungumzia sheria, ninazungumzia ibada ya kuongea, kufikisha maombi na sadaka zetu kwa Mungu. Padre anavyogeuza mkate na divai kuwa mwili na damu ya Yesu kufuata maelekezo Yake mwenyewe aliposema "fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu", ubani hufikizwa.
Yesu pia aliletewa zawadi ya Ubani/Uvumba alivyo kuwa kachanga; wataalamu wanasema ilimaanisha 'ukuhani mkuu'.
Ufunuo wa Yohana alifunuliwa kuwa Malaika anafukiza ubani. So ubani ipo sana kwenye agano jipya sijaona hapo kwa Paulo alipowaandikia Waebrania akisema ibada (ritual) ya ubani haifai.

Unachanganya madawa

Najua hata mimi huo mstari hauzungumzii mada yako lakini mimi nilikujibu kutokana na kile nilichoki quote
Kagua ulichoandika na nilichokijibu!
 
@ Pasco na Kauga, naomba mfahamu kuwa sina ubaya wala sipendi kukashifu/kukebehi dhehebu wala dini nyingine. Ninachohitaji hapa ni majibu ya maswali ama hoja esp. kwenye mambo ambayo yanaendelea wakati wa ibada ama vitu ambavyo hufanyika na haviko katika Bible.
Ninachohitaji ni knowledge ili niendelee kukua katika imani yangu. Nina kiu ya kuelimika kiimani
 
Really?
Umesoma bíblia yako vizuri? Una maanisha agano la kale lote ni chukizo? Sadaka ya Abeli ilikuwa ni chukizo?
Soma pia kuhusu ubani ktk
Kutoka 30:1-9
Hesabu 7:13-17
Luka 1: 8-11
Matayo 2:11
Ufunuo 8:3-4

Maombi ya Mzee Zacharia kuhusu mtoto yalipatikana baada ya yeye kupata ukuhani ulioambatana na kufukiza uvumba na hata habari ya kupata mtoto [Yohana Mbatizaji] alipewa akiwa anafukiza uvumba,..sasa kama MUNGU apendi angejihusisha vipi na mtu huyu na kumtaarifu kwa wakati wa tukio hilo...Imani zimeingiliwa na watu wanaotaka kupata uhalali wa mambo yao ,ambayo sio ya ki-MUNGU wakijaribu kwenda kinyume na mapokeo..tuache midadi na misisimko tusome neno na kuelewa..KOLOSAI..2:8-
 
@ Pasco na Kauga, naomba mfahamu kuwa sina ubaya wala sipendi kukashifu/kukebehi dhehebu wala dini nyingine. Ninachohitaji hapa ni majibu ya maswali ama hoja esp. kwenye mambo ambayo yanaendelea wakati wa ibada ama vitu ambavyo hufanyika na haviko katika Bible.
Ninachohitaji ni knowledge ili niendelee kukua katika imani yangu. Nina kiu ya kuelimika kiimani

Habari mkuu ngoja nikusaidie kidogo kadri ya uwezo wangu. Kwanza nianze na kwenda kanisani. Kusali unaweza sali sehemu yeyote na halai popote pale. Lengo kuu la kwenda kanisani si kusali peke yake, nia nyingine ya kwenda kanisani hasa wakati mfumo wa mawasiliano ulikuwa uso kwa uso. Hivyo ukienda kanisani unakutana na wanajumuiya wenzako mnaimarisha ushirikiano pia kupata maelezo na mwenendo mzima wa kanisa.

Pili ni swali ulilomuuliza Kaunga kuwa kwanini tukipita kwenye madhabahu tunaonyesha heshima(ku-bow)/ kusujudia sanamu ya Christ. Umeuliza swali zuri ila umechanganya vitu viwili kwenye kimoja, ku-bow madhabauni na kusujudu sanamu ya Kristo. Kwenye kuonyesha heshima (ku-bow) kwenye madhabahu ni kuonyesha heshima na hayo ni maagizo ya Mungu aliyompa Musa kwenye mlima Sinai(Maagizo juu wa utaratibu wa Ibada) Kutoka 25:8. Na pale madhabahuni kuna kile kisanduku kinaweza wekwa pale katikati ya Madhabahu au pembeni ambacho kinahifandi sakramenti iliyobarikiwa. kama sakramenti ipo ndani na mara nyingi inakuwepo nyakati za misa basi hautakiwi kuheshimu kwa (Ku-bow) ila unatakiwa kuheshimu kwa kupiga goti.

Pia nimalizie swali kwenye kusujudia sanamu ya Kristo, kupiga kwako goti mbele ya madhabahu au ku-bow hakumaanishi unasujudia sanamu ya Kristo. Labda nikupe mfano nimeshahudhuria makanisa mengi ndani na nje ya nchi. Si kweli kuwa picha ya Yesu msabalani inakuwa pale nyuma ya madhabahu. Kwa mfano rahisi kanisa ninalosali sasa hivi picha ya Kristo ipo juu ya ndazi ya kwanza unapopanda madhabauni kwahiyo kama niki-bow au kupiga goti inakuwa juu mgongoni kwangu, sasa kama ingekuwa ku-bow au kupiga goti ni kusujudia picha ya Kristo akiwa msalabani ingewekwa kweli eneo nililosema hapo juu.

Mwisho unaweza kusali nyumbani,ofisini, nyikani na hata vitani Mungu yupo popote pale. Lakini kama una dhehebu basi litakuwa na sheria na kanuni kwa waumini wake kama lilivyo kanisa Katoliki kwamba unatakiwa uhudhurie walau misa moja Kuu kwa mwaka. Ili ujumuike na wanajumuiya wenzako na kujua mwelekeo wa kanisa na mambo mengine yanayolihusu. Ahsante nadhani nitakuwa nimejibu swali lako.
 
Pasco,
Kumbe weye ni Mkatoliko? Tuyaache hayo ya kwako ila nikuulize swali la kizushi tu, Umesema ati ubani unafukuza mapepo na mijishetwani inayoletwa/inayokuja na waumini, sasa mbona kulee kwa wenzetu nao huutumia ubani huo huo kuwavuta hao jamaa waje?
Mi nilikuwa muumini mkubwa wa mnajimu fulani maarufu sana ambaye keshatangulia mbele ya haki. Aliniuzia mpaka chombo maalumu cha kuufukizia huo ubani ili hao jamaa (Mapepo/majini) wanijie na kunifanyia kazi nilio taka. Weye unalijua hilo?
Pia, mbona kama Wakatoliki na hao rafiki zetu mnafanya mambo yakufanana saana kiimani? Mfano; Wote mna tAsbiHi, chetezo etc. Sisemi kama kuleta zogo lakini jibu lako la kufukiza ili kumvuta Roho Mtakatifu si kweli labda roho mtakavitu ndiye huja. Fikiri tena jibu jingine Pasco.
penye red hapo umenchekesha sana mpaka nimehisi huu uzi utamwagiwa tindikali punde tu.
labda na mimi nichangie hapa, niliwahi kufundishwa kuwa utamaduni wa kutumia ubani na chetezo kwa wakatoliki umeigwa kwenye imani/dini za kiyahudi zilivyokuwa zikifanyika. ule utamaduni wao uliigwa kule na ukaletwa kanisani katoliki.kama unavyojua wakatoliki wanamwamini kiongozi wa dini yoyote yule mwenye asili ya mt.petro(mwamba) na ikiwa hukutokea hapo wanakuchukulia mtu usiyeweza kubadili mkate na divai, kwakuwa hujawekewa mikono. ndio maana wakatoliki wanamheshimu mt. Luther kwakuwa alikuwa padre wao kabla ajahasi.
 
2013,
Hujakosea sana huko kwenye kufukizia ubani lakini ninachoomba uelewe vizuri wala usiendelee kuamini uwongo mwingi ni kwamba:
Bwana wetu Yesu Kristo hakulijenga kanisa lake juu ya Petro. Ni somo refu lakini naomba nikuambie kwamba alimaanisha kwamba juu ya ule ukiri wa Petro kuwa Yesu ndiye Kristo Mwana wa Mungu huo ukiri huo ndiyo alio usema kuwa mwili na damu yaani akili ya mtu haiwezi kumfunulia bali Roho wa Mungu.
Wokovu hauji kwa kulisoma Neno la Mungu kama hadithi nyinginezo, wokovu unafunuliwa na Roho Mtakatifu. Na juu ya ufunuo huo wa Roho Mtakatifu, Yesu atalijenga kanisa lake wala milango ya kuzimu haitaliweza. Mtu aliyefunuliwa wokovu wake na Roho Mtakatifu, huwezi kumwondoa. Si hatari wala vitisho vitamfanya arudi nyuma.
Kuhusu ule mkate na divai; Jamani, tumwelewe vizuri Bwana wetu Yesu Kristo. Hivi kweli tujiulize, hili ni swali tu la kizushi; pale aliwapa Dodoma Wine??? Umewahi kuionja inavyo lewesha? Mbona tunamkosea sana huyu Mwokozi wa ulimwengu kiasi cha kuona kuwa alikuwa mlevi kiasi cha kuufanya kuwa ndiyo damu yake? I will always say No no noooo. Hakutumia Divai ya kilevi kama wengine wenu mfanyavyo. Asingeliniambia kwamba nisilewe kwa mvinyo. Efeso 6 : 12. Soma vizuri tuu utaelewa.
Pia sihitaji kuwekewa mikoni yao ili nikubalike nao. Nawasilisha
 
mkuu somo la pombe ni complex sana , japo unalizungumza kwa urahisi lakini ningeweza kuweka wazi kuwa lina uzito sana mkuu. kwani kuna mahali yesu anasema mwenyewe ....anakula na kunywa wanamwita mlevi na mlafi wakati yohana alikuwa hali wala hanywi wakamwita anamapepo. labda tungejiuliza hapa yesu anakunywa nini mpaka aitwe mlevi? pia mkuu kuna wanaosema unywe kwa ajili ya tumbo lako, sasa tangu lini pombe ikawa dawa. sayansi ya udaktari haiungi mkono unywaji wa mvinyo kama dawa ya tumbo na hapa inaweza kuwa kiburudisho cha ku-speed up digestion tumboni, na kama ni hivyo basi mvinyo uendelee kunyweka. pia ukifuatilia harusi ya kana, sijajua kama kuna mahali ambapo divai ilikuwa juisi. je itakuwa hii aliyoitengeneza tena kwenye harusi? kama ujuavyo hata katika maisha ya kienyeji sherehe zinaendana na pombe.. iwe chibuku, dadii, mbege, rubisi, n.k. all in all. hapa ndipo tunapojikuta tukigawanyika kimtazamo kuhusu pombe. japo mkuu sitetei pombe, nimegusia hivyo vipengele kwakuwa nina imani unajua maandiko hayo yanavyosema.
labda nikuulize Divai ni nini?
pia swali lakukuuliza wewe binafsi, je umewahi kula mkate na divai kama ukumbusho wa kufa na kufufuka kwa bwana yesu. au unatumia juisi au haujawahi kabisa katika dhehebu lako? naomba unijibu hapo mkuu.
 
Mkuu Kaunga, nipo sana tuu!. Graphology inanieleza hili swali umeliletwa kwa nia ya uchokozi fulaani hivi!, any way, mimi ni Mkatoliki niliyeisoma Biblia kivyangu vyangu, kuna mambo mengi dini zinayafanya ambayo sio, hili likiwa miongoni mwake!. Sisi binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, yaani Mungu ndiye yumo ndani yatu kwa ile omnipresence yake, ila pia ametupa utashi kujua kuwa shetani yupo na tuko huru kumkaribisha!, ukimkaribisha shetani, Mungu anakuacha!. Nyumba za ibada, ni mahala patakatifu penye Mungu hivyo shetani hawezi kuwepo, lengo la ubani ni kumfukuza shetani na watumishi wake ambao ni mapepo!. Shetani huyu na mapepo haya huletwa na waumini wenye nayo!.
Pasco.

Unahitaji kusoma (upya au zaidi/sana) falsafa ya dini na Imani kwa jumla brother.
 
Tunaokolewa kwa neema!, sio kwa matendo!. Ktakachokuingiza kwenye ufalme wa mbingu ni nafsi yako, sio kanisa, sio padiri, sio askofu, sio kardinali, sio Papa!, ni wewe mwenyewe, only you na nafsi yako!.
Unapaswa umjue Mungu
Pasco

Sure. Hata yule jambazi pale Golgota, aliokolewa kwa neema wala si matendo. Concept hii kwa wale 'wenzetu' bado ni kitendawili kwao. Wale 'wenzetu' wanaamini kuwa juhudi zako binafsi zitakufikisha kule kwenye 'mji wa raha zisizokoma' only if your good deeds outweighed your bad deeds!
 
Back
Top Bottom