hakika ni kweli... linautukufu maaruf, Lakini isiwe Commercial tukageuziwa kwa vizazi vya sasa...Tunawaiga kina nani? Unajua umri wa kanisa katoliki? Unajua linaweza traciwa tokea kwa Yesu na Perto mtume wake?
Tunawaiga kina nani? Unajua umri wa kanisa katoliki? Unajua linaweza traciwa tokea kwa Yesu na Perto mtume wake?
Nijuavyo mimi Ubani hutumika kwa maombi mazuri na maombi ya kufukuza Mapepo na mamombi mabaya pia sasa inategemea wewe mtumiaji unatumia kwa njia gani?Luka 1:9,11
Zakaria (baba yake yohana mbatizaji) alichaguliwa kwa kura kama ilivyo desturi, kuingia hekaluni ili akafukize ubani. Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Umeona kwa aya hizo, Angel (spirit) alikuja baada ya ubani kuchomwa. Na upande wa pili wa darkness pia ubani hutumika. Nafikiri ni sahihi kusema ubani ni mvuto wa spirits, iwe light au dark spirits.
Cc MziziMkavu
Mkuu Kaunga, bado uko juu mno, please shuka chini kidogo chini, ili kwenda sambamba na watu wa Chini!.kiasi fulani nimekupata
hebu ingia deep kidogo kwa faida yangu na wengine!!
Tunawaiga kina nani? Unajua umri wa kanisa katoliki? Unajua linaweza traciwa tokea kwa Yesu na Perto mtume wake?
Kwani Babu DC; matumizi ya ubani hayafai? Mimi huwa napenda tena ninakaa mbele ili muda wa kufukizia ubani waumini basi harufu na moshi unifikie. Najisikia vizuri nikiipata hiyo ecense.
Nafikiri kama Ablessed alivyosema, shetani anapenda kupata attentions anazozipata Mungu. Ndio maana na majini yanataka kupata same treatment.
Lkn imani nyingi zina hii kitu, wabudha, muslims, hindu etc. So sio ushirikina tu bali kuna uhusiano mkubwa wa ubani na supernatural powers.
Tunawaiga kina nani? Unajua umri wa kanisa katoliki? Unajua linaweza traciwa tokea kwa Yesu na Perto mtume wake?
Really?
Umesoma bíblia yako vizuri? Una maanisha agano la kale lote ni chukizo? Sadaka ya Abeli ilikuwa ni chukizo?
Soma pia kuhusu ubani ktk
Kutoka 30:1-9
Hesabu 7:13-17
Luka 1: 8-11
Matayo 2:11
Ufunuo 8:3-4
About 33AD, wakati wa Pentekoste. Na hata Popes can be traced kuanzia Apostle Peter.
Wakati mtume Petro anakufa about 67AD kanisa katoliki halikuwa limeanzishwa na hata huyo Petro aliuwawa na watu ambao leo wanadai huyo ndio alikuwa Papa wa kwanza
Hakuna ushahidi huo na Petro nae aliuwawa msalabani kama Yesu laniki ulikuwa up side down
Suala la Mtume Petro kuwa papa wa kanisa katoliki linakinzana na historia!
Kitendo cha kufukiza ubani ni upotoshaji mkubwa wa ukweli kuhusu roho mtakatifu! Na wengi wao wanaokikumbatia postively walijikuta ktk matumizi hayo kwa kurithi ibada pasipo kuitafta kweli.
Tukistick kwenye mantiki kwamba kufukiza ubani ni kumkaribisha roho mtakatifu ni sawa na kuaminisha kuwa Imani ya wakatoriki ni sawa na ya Waislamu; kwamba Mungu amewaandalia mito ya pombe na wanawake mabikira (hurilaina) 70 kila mwanaumme{(tu) (hapa wanawake wamesahaurika)} mtiifu atakaeiona pepo!
Amkeni wanadam itafteni nuru ilipo ili myafuate yampendezayo MUNGU.