Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,375
- 852
Safari hii watahamia Lesotho au Kigali kutembeza bakuli.
Kwanza huyo Magufuli hajui Kingereza, utaombaje msaada huwezi kutema yai?
Nchi za Magaribi wanaona kila kinachoendelea Tanzania.
Aibu kwa serikali mpya ya CCM.
Hawataweza tena kunyanyua mdomo kuhubiri demokrasia wasiyoifuata.
Dr..amepataje kama hajui kiingereza hats Lowasda hajui pia nimemsikia akiongea leo na waandishi.