Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Mimi naunga mkono 100% kwa CHADEMA kuamua kusimama wenyewe kukomboa nchi hii. Kwa mtu mwenye akili timamu (sio FaizaFoxy, RadhiaSweety, Ritz na wenzake) anajua kuwa wapinzani wengi ukitoa makamanda wameingia kwenye siasa ili kujitafutia chakula (tumbolism) na sio kutafuta uhuru wa kweli kutoka kwa huyu mkoloni mweusi (ccm). Kwa sababu hii, wengi wao wamekuwa wakihongwa vijipesa au vijimadaraka ( mf. Ubunge wa kuteuliwa) na kutusaliti sisi wapenda mabadiliko ya kweli lakini makamanda wameonesha nia ya dhati ya kutukomboa kutoka kwa huyu dhalimu! Hakuna haja ya kuwahusisha hao vibaraka! Wakati ukuta, mabadiliko yameshaanza kuingia nchi hii, asiyetaka kubadilika yatambadilisha!
 
Ni upuuzi huo unaozungumza, hivi hujasikia leo jeshi la polisi likisema bom lao lililipuka kimakosa? Shirikisha ubongo wako na .......

Hata mataifa yaliyoendelea kiteknolojia huwa yanawaripukia wenyewe, wanaita "friendly fire", Funguka.
 
Ni ubaguzi gani unao jaribu kuuweka jamvii?? Tatizo la CUF na suala la kuunda kambi ya upinzani na Chadema liko wazi kama ukiamua kuangalia mafungamano ya kisiasa kati ya CUF na CCM. Pia umejaribu kuongelea suala lakuongoza halmashauri huko Kigomalakini umeshindwa kuoanisha idadi ya madiwani katika halmashauri hiyona ubaguzi wa Chadema kwani CCM ina madiwani 8 Chadema 7 na NCCR-Madeuzi 6. Mafungamanoya kisisa hayalazimishwi na kigezo cha kuwa wote ni wapizani inawezekana mkatofautiana katika kile ambacho kila chama kinakisimamia na kukiamini
 
MziziMkavu kumbe nawe upo kwenye siasa hizi? Aisee nimehuzunika kweli kweli maana nakuaminia sana. Embu tumalizie lile story letu la MAJANGA kule MUM
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu kumbe nawe upo kwenye siasa hizi? Aisee nimehuzunika kweli kweli maana nakuaminia sana. Embu tumalizie lile story letu la MAJANGA kule MUM
Mkuu Tigga Mumba Mambo ya Siasa hata siyajuwi kamwe ila ninashangaa Member wengi waliochangia Thread yangu ni Wanaunga mkono Chadema wakishindana na Member Mmoja mkongwe Bibie.@FaizaFoxy kawashinda wote wanaopinga CCM kwani huyu FaizaFoxy ni ni CCM Damu. Kasheshe kweli Majangaa Majangaa...................
 
Mkuu MziziMkavu,huwa unanitag kwenye thread zako zote kasoro za huku jukwa la siasa.Is there any reason at all?
 
Last edited by a moderator:
hiyo na namna moja ya kuliangalia suala hilo,lakini mimi napendezwa na hii ya "njaa ya vyama vingine vya upinzani yazidi kudhoofisha upinzani wa kweli nchini"
 
"rafiki ya adui yako ni adui yako pia" and this case naona vyama vingine vya "upinzani" vimechagua c.c.m kama rafiki kwa hiyo wasitegemee chadema kuwa treat kama wenzao,and vice versa.
 
Umetumwa?????
mary mary hakutumwa huyu. Anajipendekeza ili apewe Ukuu wa Wilaya. Si umesikia kuna wilaya mpya na mikoa mipya? Sasa Rais ataanza kuchagua mabloggers wanaojipendekeza kwake, wenye hoja zisizokuwa na mashiko daima, kama maggid n.k.

Hawa ni wale by-products za 2 x 2 = 5!

Sad but true.
 
Last edited by a moderator:
Halafu hao mnataka watu wawape kuongoza nchi?

Wataihamisha nchi yote waipeleke Kilimanjaro.

so stupid!!!!! nyie nchi mmeipeleka wapi??? bagamoyo??? ​SHAME UPON YOU NA POSHO YAKO YA BUKU SABA
 
Back
Top Bottom