Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Asili yangu ni Dar, Kijiji chetu Shungubweni, Mkuranga. Bamvua kubwa samaki mpaka ukumbini kwa Al Marhum babu yangu.
Sijakuuliza asili yako,asili yako haiwezi kuwa Dar hata kama mnavua samaki hadi ukumbini!

Sema tu umezaliwa Dar.

Maoni yangu ni kwamba hatutaweza kuwa na nchi moja na watu kama wewe.Tena ukizingatia ubaguzi wenu na chuki dhihi ya watu wa bara,lazima kuna cku kitanuka na hapo maybe kuna mtu atakuuliza asili yako ni wapi.
 
Asili yangu ni Dar. Labda wewe ndio wakuja.
 
Halafu hao mnataka watu wawape kuongoza nchi?

Wataihamisha nchi yote waipeleke Kilimanjaro.

Lol!!! sasa mambo ya uchaguzi Uvinza na Kilimanjaro wapi na wapi mkiambiwa CCm ni janga hamtaki yaani mtu mzima na watoto wako hata sifahamu una wangapi laikini bado una akili kama za maiti pole sana
 
Back
Top Bottom