Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Sio issue, acha chadema itafute kuungwa mkono na wananchi na si viongozi wa vyama kama akina tlp ya mrema, cuf ya prof. Mapuma, nccr-mageuzi ya mbatia.iko siku wananchi wataelewa nani ni nani wneyewe na watachagua kweli na kuiacha batili pembeni.
 
Halafu hao mnataka watu wawape kuongoza nchi?

Wataihamisha nchi yote waipeleke Kilimanjaro.

mimi hapo hata sijajua kilimanjaro imekujaje hapo, hivi kote mnakopoteza ushindi ni kilimanjaro, mtaisoma namba kuelekea 2015
 
Sijui kwanini unasahau ukweli halafu unautetea kwa nguvu sana uongo .... kwenye thread hii hili la ukabila unalipenda sana....!

ulisoma "Historia"? km ndiyo ... haukuwahi kuona mapambano ya kikabila kt watemi wa makabila ya Kilimanjaro? Je haujui hakuna kabila la Wachaga? Ila Wachaga ni mkusanyiko wa Makabila km ma4 au zaidi (wakibosho, wamachame, wamarangu, warombo nk) ... Unaposema Wachaga tayari umeisha ondoa ndhana ya Ukabila kwasababu unataja muungano wa makabila zaidi ya moja....!
Sijui km nitaeleweka kabila la wachaga siyo moja kama waha, au wa haya au wasukuma ... Mwanza mpaka Shy lugha ni ile ile tofauti sana na Wachaga wenye kutosikilizana hata kwa sentensi ....!

Ila imekua vyema sana Ukabila utumike kukataa watu ili taifa litetereke hadi tuamue kuuacha mtizamo huo...

Nani aliotaja kabila, rudia post yooote, halfu nioneshe. Ukipakosa utajuwa nani aliyesahau. Sidhani kama utarudi kuijibu hii post.
 
Mimi nayakumbuka ya UVCCM pwani wakiongozwa na Prince Ridhiwani Kikwete kwamba Mrithi wa JK hawezi kutoka kaskazini.

Na pia nakumbuka JK alituambia anayo orodha ya wauza unga, kwahiyo hawa wanaokamatwa sasa hivi na kuvusha kilo 150 ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement basi haka Karidhiwani katakuwa ndio jemedari wao, ndio maana Baba yupo kimya.

Ni mfupi wa kumbukumbu, tutakukumbusha.
Ritz tafadhali mkumbushe huyu kijana Nasari alisema nini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom