Mkuu! ni kawaida ya foxy kuwa wabaguziKumbe najibizana na mbaguzi namba moja.
mkuu! Ni kawaida ya foxy kuwa wabaguzi
Good analysis. Ila najua kuna watu watakutukana na kukupa majina kibao ya ajabu
Ndio, Rais Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete ndiye alikabidhiwa ardhi yote ya Tanzania.
Atakaeleta udini au ukabila hataweza kupata uongozi nchii hii hata siku moja haiwezekani cdm mjijadili upyaaaaaaaaa
Tunataka CHADEMA kama ina uwezo ishinde kwenye Uchaguzi Mkuu unaokuja wa Mwaka 2015. Sio CHADEMA iungane na CCM upo mkuu pamoja na mimi HakikwanzaJamani wanaotaka CHADEMA iungane na CCM b, c na nk haitawezekana