Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Lisemwalo huwa lipo na Ukweli mara zote hujitokeza.

CHADEMA wanajitahidi ku-spin lakini ukweli uko pale pale. Kwa kudanganya wananchi, kwa sasa wanajitahidi kuvaa ngozi ya mtazamo wa kitaifa lakini mwonekano wa INNER CIRCLE ya CHADEMA hakuhitaji kuambiwa tazama.

Ubaguzi unapokuwa kwenye damu, hakuna kitu kitakacho ufanya uondoke, hii inakuwa ni sawa na addiction ambapo kila wakijaribu kuundoa, wanajikuta bila kujitambua wanarufi tena kwenye ubaguzi hasa pale chaguzi na teuzi zinapofanyika.

Vip Kuwachangisha buku buku ya Line za simu kila mwezi bila kuzitolea maelezo unasemaje?
 
Mbatia asingeliona bunge bila Jkz
hvyo basi analipa fadhira kwa chama chake hiko kinachomuweka mjini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lisemwalo huwa lipo na Ukweli mara zote hujitokeza.
Mwana diwani,Mingoi na Baba yako ni I'd 3 za mtu mmoja?mbna znaingia kwa kufuatana halafu idea za kipuuzi ni zilezile,Mfano baba yako lazima ataje tindikali kwenye comment zake
CHADEMA wanajitahidi ku-spin lakini ukweli uko pale pale. Kwa kudanganya wananchi, kwa sasa wanajitahidi kuvaa ngozi ya mtazamo wa kitaifa lakini mwonekano wa INNER CIRCLE ya CHADEMA hakuhitaji kuambiwa tazama.

Ubaguzi unapokuwa kwenye damu, hakuna kitu kitakacho ufanya uondoke, hii inakuwa ni sawa na addiction ambapo kila wakijaribu kuundoa, wanajikuta bila kujitambua wanarufi tena kwenye ubaguzi hasa pale chaguzi na teuzi zinapofanyika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CDM wanaweza kujifunza mambo mengi katika sakata hili na hvyo kurekebisha tofauti zilizopo.
Yote yanawezekana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lakini hata mimi lile la kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni sikuwaelewa hawa jamaa walimaanisha nini, Haya sawa mlisema CUF anaunda serikali ya pamoja na CCM visiwani sasa vipi kuhusu TLP,NCCR na UDP? Hili lilionyesha ubaguzi mkubwa na uroho wa madaraka. Sasa mwaka 2015 ikitokea tu chama kingine cha upinzani kimewashinda viti vya ubunge nanyie mtapigwa bench.
 
Tuko kwenye mada ya UBAGUZI wa CHADEMA. Kama unataka tuliongelee swala a line fee za simu leta thread yake tukupe somo. Huu siyo uwanja wake.

Funny! Kumbe mada unaijua ni ubaguzi lakini kwa makusudi tu unaleta ishu za watu kuchangia chadema!
 
Lisemwalo huwa lipo na Ukweli mara zote hujitokeza.

CHADEMA wanajitahidi ku-spin lakini ukweli uko pale pale. Kwa kudanganya wananchi, kwa sasa wanajitahidi kuvaa ngozi ya mtazamo wa kitaifa lakini mwonekano wa INNER CIRCLE ya CHADEMA hakuhitaji kuambiwa tazama.

Ubaguzi unapokuwa kwenye damu, hakuna kitu kitakacho ufanya uondoke, hii inakuwa ni sawa na addiction ambapo kila wakijaribu kuundoa, wanajikuta bila kujitambua wanarufi tena kwenye ubaguzi hasa pale chaguzi na teuzi zinapofanyika.

"UNACHOKIONA NDICHO UKIAMINICHO" wewe ni Mkabila na hata uelezwe vipi utaamini hivyo .... kuna movement moja imeanzishwa ya kuutaka URAIS uwe wa kabila kubwa kuliko yote Tanzania na wala siyo Chama .... Wao wanataka vyama visimamishe kabila lao .... nahisi na wewe ni mmoja wao kwani hata wao wanahofia sana vyama vilivyo na msimamo... wakipata mwanya wa kushambulia wanatumia kila njia kuvikejeli kwa sifa ile ile waliyonayo wao na kwasababu wao siyo chama ni movement wanaweza kuficha uhalisia wao
 
Mimi kwa mtazamo wangu napongeza msimamo wa CHADEMA, ili chama kiwe imara ni vema kikawa na mipango ya kusimama chenyewe kuliko kutegemea alliances kwa maana vyama vya upinzani Tanzania haviaminiki.Ni nani alijua kwamba mwaka 2010 chama cha wananchi (CUF) chini ya Mwenyekiti wake Prof.Ibrahim Lipumba kilimuunga mkono Mgombea wa CCM?
 
Back
Top Bottom