moto nsebu
Member
- Jan 20, 2015
- 15
- 6
Ubaguzi ni sera iliyoasisiwa na ccm
Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?
Punguza upotoshaji na unafiki
Ndugu,kwenye majukwaa umesikika mara nyingi ukiwabeza watu wa kaskazini,hakuna mbaguzi kama wewe na hata ile clip ya wamasai wa ole medeye kule Arusha wakipanga mauaji ya Arusha uliifurahia sana
Punguza kuropoka maaana unadhaniaga kuropoka vile jukwaani ndio sifa then jaribu kushirikisha ubongo wako na mwili wako
Ukiona ccm wanaangaika sana na Chadema jueni chadema wako juu ya ccm
Mwanahabari Huru
Kumuwekea mtu sumu? kwa ushahidi gani? wa kumminya mtu makende na kumlazimisha aseme alitaka kuweka sumu? ilikuwa lazima kufanya hivyo kama kuna ushahidi dhahiri? Hizo sumu wanachadema huwa mnazipata wapi? maana ni ninyi tu wataalamu wa kuwekeana sumu kwenye vimiminika, why? Mara umesahau yaliyokukuta?
Kama haujui tulia uelimishwe sio unataka kuleta ujanja ujanja
Ukiona ccm wanaangaika sana na Chadema jueni chadema wako juu ya ccm
Mwanahabari Huru
Ndugu,Kuwa mkweli japo utakugharimu sio kwakua wamesema maboss wako nawewe ufuate wewe unaamini hiyo sinema yakuwawa dr au nikiki tu kua mkweli japo utaitwa msaliti
Mtandao unaoendesha CCM leo si ndiyo walituambia Waziri Mkuu Mstaafu ni Mwarabu?
Kwani Kingunge wakati anamtetea JK pale Kimwaga si alimpatia Kinana uraia wa Somalia? Au mnafikiri haya hayajulikani!
Wakati mnajaribu kuumba umba kwa ajili ya propaganda dhidi ya CHADEMA, uchafu wenu uko wazi peupe.
Unao uthubutu wa kutuambia Mzee Mangula alikuwa anawasiliana na Kagenzi kwa ajili ya nini?
Unaweza kutuambia alikuwa anamtumia fedha Kwa ajili ya nini?
Unaweza kutuambia alikuwa anaongea masaa 10 Kwa ajili ya nini?
You're caught naked again. Hamna pa kuchomokea. Kila hila mnayofanya inabainika, hamjajua tu kuwa Mungu ameshaondoa baraka za utawala mikononi mwenu!
Vyombo vya dola kufanya surveillance kwa vyama vya upinzani kwa ajili ya chama tawala ni kosa! Period.
Matokeo yake mnamuingiza Mzee Mangula Kwenye tuhuma ambazo zitamfanya astaafu siasa akiandamwa na aibu kubwa katika jamii!
Eti aliletwa kuja kupambana na waliotoa rushwa Kwenye uchaguzi Mkuu! Phew.
Watoa rushwa ambao Katibu Mkuu Kinana na Nape wameenda kuwasujudia Monduli! Hahahaa hahaa.
Lizaboni
hakuna binadamu hata mmoja aliyewahi kumsifia adui yake, daima ni kumponda kwa kila namna awezavyo.
Chadema wakifukuzana wewe ccm inakuuma nini? Kwanini usifurahi na kushangilia kimyakimya kwa kuwa wanajibomoa wenyewe? Unatamani kushiriki dhambi ya ubaguzi kwa kuutangaza ubaguzi wa chadema?
Bila shaka ktk vita au mapambano siku mtego wako ukimnasa adui siku hiyo huwa ni siku ya furaha sana, lakini huwa ni kinyume pale mtego unapoteguliwa hakika huwa inauma sana.
Mlitege pabaya, tena peupe mlie na kusikitika kwani adui yenu amefahamu kuwa alikuwa ametegeshwa na kuamua kutegua mtego wenu.
Kumwaga damu isiyo na hatia ni vigumu sana.
Waliojifukuza chadema waacheni watafakari jamani, ila kama inawauma waiteni muwape nafasi kwenu.
CHADEMA SIO CHAMA CHA WACHAGA, NI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Mungu ubariki tanzania na wakaao ndani yake, wena na wabaya maana ndivyo tulivyo na tutaendelea kuwa hivyo, lakini baba kwa mapenzi yako ikiwwzekana utufanye kuwa wenye amani, upendo na mshikamano. Amina.
Ndugu,Kumuwekea mtu sumu? kwa ushahidi gani? wa kumminya mtu makende na kumlazimisha aseme alitaka kuweka sumu? ilikuwa lazima kufanya hivyo kama kuna ushahidi dhahiri? Hizo sumu wanachadema huwa mnazipata wapi? maana ni ninyi tu wataalamu wa kuwekeana sumu kwenye vimiminika, why? Mara umesahau yaliyokukuta?
Km mtu anapewa hela ili scandal ya Buzwagi asiwasemee wananchi. Adhabu yake nn km sikumtenga? Tunataka kujenga nchi wenye viongozi wenye uzalendo wa kulinda maslahi ya nchi. Sikupewa virushwa. Mtei na Nyerere alishauriwa wakati ule ndio warithi wake wanatekeleza leo. Mimi napenda kuwaeleza ma ccm km Zitto nikifaa mchukueni awe mgombea wenu wa Urais. Barcelona wakimtema Messi Chelisea wanasajili.