Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

Mkuu MwanaDiwani swali zuri sana kwa huyo msaka tonge.Waka i Chadema inakataza wanachama wake kwenda mahakamani kutafuta haki wakati huo huo ni chama kinachoongoza kuwa na mawakili wengi wanaokitetea chama kwa kulipwa fedha za chama.Sasa sijui ni woga au kutojiamini kwa viongozi kunakopelekea kupinga wanachama wake kwenda mahakamani wakati hata Dr Slaa akiongopa ukitaka kufahamu uhalali/ ukweli kwa alichokisema utasikia akisema "NENDA MAHAKAMANI"
Comrade Mingoi

Huyu ni mmoja katika wanafiki wanaoongoza ndani ya CHADEMA.

Kwa unafiki wake huu, Karma law itaendelea kumtandika kila siku katika mbio zake za kisiasa ndani ya CHADEMA.
 

kwenye majukwaa umesikika mara nyingi ukiwabeza watu wa kaskazini,hakuna mbaguzi kama wewe na hata ile clip ya wamasai wa ole medeye kule Arusha wakipanga mauaji ya Arusha uliifurahia sana
Punguza kuropoka maaana unadhaniaga kuropoka vile jukwaani ndio sifa then jaribu kushirikisha ubongo wako na mwili wako
 
Ndugu,
Nape anaingiaje kwenye hoja zangu.

Vijana wa BAVICHA mkikosa hoja mbadala mnaanza kutafuta majina ya waleta hoja ili mjadili majina badala ya hoja.

Kazi ya kutetea chama mliyopewa na viongozi wenu inawazidi uwezo katika fikra pevu.

Hakika cdm inakufanya uweweseke sana. Hebu jiulize tangu umeanza kuimba wimbo wako wa ubaguzi uchaga ukanda saccos chama kimesambaratika au kimeimarika?
 
Kauli zake ndani na nje ya chama ndizo zinadhihirisha ubaguzi wake wa dini na kabila, kwanini Mtei asitajwe kwa jina lake au ujumbe utamfikiaje Edwin Mtei?.Huyu mzee ni wa hovyo kabisa na ndio maana Nyerere alimtambua mapema kuwa ni kirusi akamtimua kazi katika utawala wake leo tunaona rangi yake halisi.
Wapo wapi mashujaa wa kuliokoa taifa? Change et-al?
 
Mwana Diwani Tunaomba Cv Yako Apa Jamvini Then Ndo Tujadili Mana Naona Kiwango Chako Cha Kujenga Hoja Kiko Chini Kupindukia
 
Kama mnasema chadema ni chama cha wachaga kwanini nisiwe na mamlaka ya kushauri uongozi wakupe hyo nafasi tuna hitaji mtu mwenye mapenzi na cdm kama wewe. Lini utasimama na kuelezea ilani na sera ya ccm kama afanyavyo Kinana na hata kuikosoa serikali? Huoni hata wanachama wa ccm wanakuona kama msaliti kwa kuihubiri cdm ukitarajia itetereke kumbe ndio unaiimarisha?
Chadema sahau kushika dola ikulu ipo mbali na Chadema yaani ni km 1,000,000, kufika ikulu na wewe LEMA mvuta Bangi mkubwa ni kikwazo number one cha kuwapeleka CDM ikulu kwani wanaogopa kuwa Ukipewa nafasi Utaendesha Mauaji Kuliko hata idd Amini, Wewe Lema ni Mtu Hatari Damu ya chacha wangwe haibanduki kwako milele, kaa ukijua hata ije miujiza gani Chadema hii ya mbowe na nyie wachaga kibao haiwezi kuongoza Taifa la Tanzania miaka ya karibuni.
 
Ni Kweli kabsa, kabla zingine zipo kwa kuzuga tu. R.I.P chacha wangwe.

Mkuu funza kila nikisikia hilo jina ninapatwa na huzuni.Hawa jamaa ni makatili sana angalia sasa familia yake inavyoteseka kisa Chacha aliamini haki,usawa na utu ndani ya chama cha mzee Mtei.

R.I.P Chacha Wangwe
 
Last edited by a moderator:
Linchi hili limewashinda kuongoza,kwa sasa ni kilio kwa kila mwananchi toka pande zote za nchi cha ajabu kila siku mnakuja na drama za Chadema utafikiri CCM imeshakuwa chama cha upinzani!Kama ZZK ni wa maana kwenu si mumsajili na hapo hapo mumpe nafasi ya kugombea urais kupitia CCM hapo october?ooh mara ataondoka na watu,mara Chadema itakufa;anayeondoka na watu anafanya kwa vitendo na si porojo za mitandaoni tu.Nimeamini CHADEMA ni tishio nchi hii!
 
Maboss wako CHADEMA kiasi kwamba, wanapata mpaka ulinzi wa kujifananisha kama Rais wa Tanzania!.

Ndani ya CCM hakuna boss bali kuna ndugu.
Acha kupotosha vijana neno "ndugu" aliondoka nalo Nyerere hebu jaribu siku moja kwenye kikao umwite ndugu Kikwete uone, sasa ni mwendo wa mheshimiwa hata muuaji Mangula anayetakiwa kunyea debe ni mheshimiwa...

Mheshimiwa Lowassa uso kwa uso na mhe. Nape.
 
Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?

Punguza upotoshaji na unafiki

sasa na wewe hiyo dhambi ya kutesana itakukuta tu,kwa sababu inatokana na ubaguzi aijali wewe ni mwenzao wa home,Amri ikitoka kwa Josephine tu basi.kumbe ukombozi unaanzia jikoni CDM.
 
Ndugu,
Nani alikuambia Mangula analindwa na binadamu?.

Mangula analindwa na Mungu wake kupitia sheria za nchi.
Mangula analindwa na nguvu za kishetani kupitia kwa sheria za wafuasi wa shetani kina Kova wanaolinda watuhumiwa wa mauaji na kuwashikilia watuhumiiwa wa utesaji.
 
Aisee, wachagga tunaonewa sana sijui kwa sababu zipi tu

Kwamba CHADEMA ni chama cha wachagga, this is too low at all level!

Hivi wachagga walioko CCM wanajisikiaje na propaganda za kipuuzi na kijinga hivi? Ndiyo maana Moshi mjini na manispaa ni ndoto za mchana kuongozwa na CCM!!
 
Dua la kuku halimpati mwewe, Dua la Mvuta Bangi na muuaji kama wewe LEMA haliwapati CCM, Damu ya chacha wangwe itakutafuna sana, LEMA nenda kavute Bangi waache Binadamu wajadili mada.

Hakika wewe funza utakua kwenye akiki ya Nape ndio mana anaropoka ropoka. Inaonyesha ulivyomtumiaji mzuri wa bangi ndio mana kila mda huachi kuitaja au hapo lumumba wanagawa bangi?
 
Chadema hasa hasa Mbowe na Slaa, ni malaghai sana wa siasa, ila naamini Mungu atawahukumu october mwaka huu, wananchi wameshaanza kuwastukia.

Kwa tamko lililosomwa leo kwenye ibada na msisitizo ulioweka hakika ccm itasambaratika. Kuichagua ccm na kuunga mkono katiba ya chenge ni laana na kumchukiza MUNGU.
 
Chadema sahau kushika dola ikulu ipo mbali na Chadema yaani ni km 1,000,000, kufika ikulu na wewe LEMA mvuta Bangi mkubwa ni kikwazo number one cha kuwapeleka CDM ikulu kwani wanaogopa kuwa Ukipewa nafasi Utaendesha Mauaji Kuliko hata idd Amini, Wewe Lema ni Mtu Hatari Damu ya chacha wangwe haibanduki kwako milele, kaa ukijua hata ije miujiza gani Chadema hii ya mbowe na nyie wachaga kibao haiwezi kuongoza Taifa la Tanzania miaka ya karibuni.

Hakika Lema ni tishio kila post lazima umtaje arusha sahauni kabisa. Naona wewe ndio wamekupa jukumu la kupambana na Lema lkn kumbe unapambana na mtu usiyemfaham. Lema siku zote anakuja na id inayotambulika hana haja ya kujificha kama wewe. Hivi nani anawagawia bangi hapo lumumba naona leo inakuchanganya sana.
 
Mwl. Nyerere alishawahi kusema, "dhambi ya ubaguzi haifi, inaendelea. Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda inaendelea, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu utaendelea tu.".

Kila siku dhambi ya ubaguzi inazidi kumea na kuimarika ndani ya CHADEMA kiasi kwamba kwa sasa wamefikia hata kuanza kutesa baadhi ya watu ili kuendeleza dhambi ya ubaguzi.

Viongozi wa CHADEMA kila siku wanapanda kwenye majukwaa na kujigamba wakisema baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa wanawapa siri za serikali na CCM lakini wanasahau kuwa, maneno yao yanachagiza Karma Law inayosema, What goes around comes around or as you sow, so shall you reap.

Viongozi wa CHADEMA walishawahi kunukuliwa kwenye mikutano katika thread hii;


CHADEMA wanafurahi sana kudai wanapewa siri za Serikali au CCM na baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa lakini wanakuwa wa kwanza kutoa malalamiko na kudai wanahujumiwa pale siri zao zinapochukuliwa na watu hao hao wanaodai wanawapa siri za serikali au CCM. Waingereza wanasema, Don't hate the player, hate the game!

Unapopewa lazima pia ufahamu kuwa utatoa kwa njia hiyo hiyo iliyotumika katika kupewa. This is natural justice!

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwasiliana na baadhi ya wana usalama wa taifa (TISS) lakini mwanaCHADEMA mwingine akifanya hivyo hukumu yake ni kuteswa ndani ya ofisi za Red Brigade.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na rafiki au ndugu ambaye anafanya kazi katika idara ya Usalama wa taifa, lakini mwanachama mwingine akionekana hata anapanda gari ya mfanyakazi wa usalama wa Taifa adhabu yake ni kuteswa na kufukuzwa uanachama.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na namba za simu za viongozi wa CCM au serikali lakini mwanachama mwingine akiwa pia na namba hizo hizo anaitwa msaliti.

Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA huwa wanafanya mawasiliano na Mwenyekiti wa CCM Taifa, lakini hao hao viongozi wakigundua mwanachama mwingine anafanya pia mawasiliano kama hayo, watamuita msaliti ambaye adhabu yake ni kufukuzwa ndani ya chama.

Hii haitokei kwa bahati mbaya bali kinachofanyika ni
endelezo la dhambi ya ubaguzi ambayo inaendelea kuitafuna CHADEMA.

Chacha Wangwe aliishabikia hali hii lakini mwisho wake ikamtafuna.

Zitto Kabwe na kundi lake waliishabikia hali hii mwisho wake ikawatafuna.

Khalid Kagenzi pia aliishabikia kwa kuanzisha Red Brigade, mwisho wake imemtafuna karibia apoteze maisha yake wakati anateswa ndani ya ofisi za Red Brigade kama siyo wasamalia wema kupiga kelele kuomba msaada.

CUF na NCCR-Mageuzi walishabikia ubaguzi wa CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA, kwa sasa umeanza kuwatafuna kwa kuanza kubaguliwa!. Neno UKAWA kwa sasa ni bidhaa isiyouzwa au kuuzika ndani ya midomo ya wanaCHADEMA baada ya chaguzi za serikali za mitaa.


Ifahamike tu, leo ni kwa mwingine ndani ya CHADEMA lakini kesho ni kwako unayeendeleza ubaguzi huo ndani ya CHADEMA.

Kama ccm mnavyoendelea kubaguana na kupeana vyeo na madaraka kwa ukoo,Abeid Aman Karume,Aman Abeid Karume,Abdul wakiri sr,Abdul wakil jr,Mwinyi sr,mwinyi jr,kikwete sr,kikwete jr,
 
Back
Top Bottom