Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Mkuu wewe endelea kujipa moyo kama ile hadithi ya mzee fisi
Kigoma yetu
Mkuu wewe endelea kujipa moyo kama ile hadithi ya mzee fisi
Aisee, wachagga tunaonewa sana sijui kwa sababu zipi tu
Kwamba CHADEMA ni chama cha wachagga, this is too low at all level!
Hivi wachagga walioko CCM wanajisikiaje na propaganda za kipuuzi na kijinga hivi? Ndiyo maana Moshi mjini na manispaa ni ndoto za mchana kuongozwa na CCM!!
Akiemwekea sumu Kolimba ni mwaacha dema?
Alie mwekea sumu mgimwa ni mwana chadema?
Aliewawekea sumu mwakyembe anyonyoke nywele kama broilla ni cdm!aliemwekea sumu mwandosya??
Ccm mbona hamna aibu na dhambi zenu zipo.wazi?
Unaposema kitu uje na ushahidi sio kuropoka, Ulienda kwa "fundi" gani aliyekueleza watu hawa walikufa kwa sumu na iliwekwa na CCM. una vyeti vyao vya kifo vinavyoonyesha walikufa kwa sumu? Na hata kama ingalikuwa ni kweli, unataka kutuaminisha maadui zao wamo ndani ya CCM tu.
Ndugu,Huu unafiki wa CHEDEMA wakusema eti wanafanya maamuzi magumu wakuwatimua wanachama wenye msimamo kinzani ni woga tu...kumbe wanajificha kwenye kivuli cha woga, woga wa kunyang'anywa madaraka, woga wa viongozi wa kupingwa ama kushindwa kwa hoja
Ndugu,
Kwenye majukwaa yapi hayo wakati jukwaa langu ni hili!.
Nadhani unafikiria kwa kutumia njozi.
Jikite kwenye hoja iliyoko mezani.
Ndugu,usijitoe fahamu bwana, tukikutaja we ni nani unakimbilia kureport kwa mods.......
Ndugu,
Jikite kwenye hoja iliyoko mezani.
Kama ni suala la kutaja majina, kwa nini usianze kujitaja?.
Charity begins at home!
Mwl. Nyerere alishawahi kusema, "dhambi ya ubaguzi haifi, inaendelea. Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda inaendelea, ni sawa na kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu utaendelea tu.".
Kila siku dhambi ya ubaguzi inazidi kumea na kuimarika ndani ya CHADEMA kiasi kwamba kwa sasa wamefikia hata kuanza kutesa baadhi ya watu ili kuendeleza dhambi ya ubaguzi.
Viongozi wa CHADEMA kila siku wanapanda kwenye majukwaa na kujigamba wakisema baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa wanawapa siri za serikali na CCM lakini wanasahau kuwa, maneno yao yanachagiza Karma Law inayosema, What goes around comes around or as you sow, so shall you reap.
Viongozi wa CHADEMA walishawahi kunukuliwa kwenye mikutano katika thread hii;
CHADEMA wanafurahi sana kudai wanapewa siri za Serikali au CCM na baadhi ya waajiriwa wa Usalama wa Taifa lakini wanakuwa wa kwanza kutoa malalamiko na kudai wanahujumiwa pale siri zao zinapochukuliwa na watu hao hao wanaodai wanawapa siri za serikali au CCM. Waingereza wanasema, Don't hate the player, hate the game!
Unapopewa lazima pia ufahamu kuwa utatoa kwa njia hiyo hiyo iliyotumika katika kupewa. This is natural justice!
Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwasiliana na baadhi ya wana usalama wa taifa (TISS) lakini mwanaCHADEMA mwingine akifanya hivyo hukumu yake ni kuteswa ndani ya ofisi za Red Brigade.
Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na rafiki au ndugu ambaye anafanya kazi katika idara ya Usalama wa taifa, lakini mwanachama mwingine akionekana hata anapanda gari ya mfanyakazi wa usalama wa Taifa adhabu yake ni kuteswa na kufukuzwa uanachama.
Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA ni ruksa kuwa na namba za simu za viongozi wa CCM au serikali lakini mwanachama mwingine akiwa pia na namba hizo hizo anaitwa msaliti.
Baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA huwa wanafanya mawasiliano na Mwenyekiti wa CCM Taifa, lakini hao hao viongozi wakigundua mwanachama mwingine anafanya pia mawasiliano kama hayo, watamuita msaliti ambaye adhabu yake ni kufukuzwa ndani ya chama.
Hii haitokei kwa bahati mbaya bali kinachofanyika ni endelezo la dhambi ya ubaguzi ambayo inaendelea kuitafuna CHADEMA.
Chacha Wangwe aliishabikia hali hii lakini mwisho wake ilimtafuna.
Zitto Kabwe, Prof. Kitila na Mwigamba waliishabikia hali hii mwisho wake imewatafuna.
Khalid Kagenzi pia aliishabikia kwa kuanzisha Red Brigade, mwisho wake imemtafuna karibia apoteze maisha yake wakati anateswa ndani ya ofisi za Red Brigade kama siyo wasamalia wema kupiga kelele kuomba msaada.
CUF na NCCR-Mageuzi walishabikia ubaguzi wa CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA, kwa sasa umeanza kuwatafuna kwa kuanza kubaguliwa!. Neno UKAWA kwa sasa ni bidhaa isiyouzwa au kuuzika ndani ya midomo ya wanaCHADEMA baada ya kupata kile walichokuwa wanakitaka kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Ifahamike tu, leo ni kwa mwingine ndani ya CHADEMA lakini kesho ni kwako unayeendeleza ubaguzi huo ndani ya CHADEMA.
Ndugu,
Una maana gani katika comment yako?
Sijakuelewa vizuri.
Huu ninaokupa ni ushauri wa bure kabisa!!!
Post za hivi haziisaidii ccm kwa namna yoyote, haiwaongezeeni mwanachama hata mmoja, haiwajengei ama kurejesha imani hata kwa mwananchi mmoja,
Fanyeni hivi mkamateni pinda na kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka, mkamateni jk na kumfungulia mashtaka ya wizi, mkamateni na kumfungulia maahtaka ya wizi bwana mamvi, mzuie mali zake kuwa kwenye milki yake wakati wa kesi, mfilisini chenge, huyu mtieni korokoroni akae huko bila mashtaka manake anajivunia sana sheria ya Havard university nyang'au katuuza huyu.
Then mtakuwa na cha kuwaambia wenye nchi.
Kinyume na hivyo, aah watu wanakumbuka TRC mkamleta Muhindi akafungua account kwa jina la TRL mkavunja mkataba nae kwa kumlipa mabilioni yetu kibao, chenge anaangalia ki macho ya nyoka makengeza,
ATC huku mmeongeza L mkasajili na nembo kwa mbwembwe imekuwa kuwa ATCL shirika halina ndege hata moja, sijui kama angalau wa hiace, chenge linatumbua mimacho tu,
Kiwanda chetu cha magurudumu GENERAL TIRE kiko wapi?
.
.
.
.
UKOME KUTULETEA TAKATAKA ZAKO HAPA, UKIKAIDI NAKUBANDIKA JINSIA YA KIKE KWENYE PAJI LA USO WAKO UONE UTAKAVYOSUMBULIWA.
ETI UCHAGUZI UNAWATESA UNAWATESA, MNADHANI HATUONI CCM MNAVYOTUTESA EEEEH???! SUBIRINI DAWA YENU.
Kyela kuna wachaga wee p. MbiWith due respect
Kyela hamna wachaga na CHADEMA ikashinda kuongoza mamlaka ya mji mdogo kutoka vitongoji 2 mwaka 2009 hadi 28 mwaka huu
Nadhani kuna mwamko fulani umewaingia watz au una wazo gani?
Kyela kuna wachaga wee p. Mbi
Ndugu,Huu ninaokupa ni ushauri wa bure kabisa!!!
Kiwanda chetu cha magurudumu GENERAL TIRE kiko wapi?
.
.
.
.
UKOME KUTULETEA TAKATAKA ZAKO HAPA, UKIKAIDI NAKUBANDIKA JINSIA YA KIKE KWENYE PAJI LA USO WAKO UONE UTAKAVYOSUMBULIWA.
ETI UBAGUZI UNAWATESA UBAGUZI UNAWATESA, MNADHANI HATUONI CCM MNAVYOTUTESA EEEEH???! SUBIRINI DAWA YENU.
Ndugu,
Ndicho nini hiki ulichoandika?.
Watu wa fikra za aina yako inafaa mtambue uwezo wenu katika kukabiliana na hoja zinazohitaji fikra pevu.
Kuna mdau mmoja alishawahi kuandika, ficha upumbavu na usifiche hekima.
Unaonyesha hata dharau kwa mama zako, utaweza kuonyesha heshima kwa majirani zako?
Kujenga hoja na mtu wa aina yako ni kupoteza muda.
Watafute wenye kiwango chako cha juu katika kifikra muflisi ili muweze kubadilishana hoja muflisi.
Thanks
Ndugu,Ungeweza kuikabili hoja yangu hata moja tu ingekuwa maajabu, angalia sasa umeleta porojo kibao, haibadilishi matokeo, ni kwamba ukijumlisha na uandishi wenu huu hamvutii wapigakura kwa namna yoyote zaidi ya kuamsha hasira kali.
Hili ndio tatizo la watu wanafiki.Kutetea kanuni na katiba inapotumika dhidi ya mwingine inamaanisha kwamba haiwezi kutumika dhidi yangu?
Mbona una mawazo primitive kiasi hiki?
Huyu nae eti amejenga hoja hapo juu.
Ndugu,
Hawa vijana wa BAVICHA wamekuwa programmed kama robot.
Wao wakikariri yanayosemwa na viongozi wao inakuwa ndiyo wimbo.
Hawana uwezo mkubwa kifikra.
Objective reasoning ndiyo haipo kabisa.
WAKATI MNAINANGA CHADEMA. SOMA HII..............M
CHADEMA SASA HII NI KUTAFUTA SIFA BHANA. LZM IONYESHE UTU KWA CCM JAPO KIDOGO......
Chama cha Drmokrasia na Maendeleo- CHADEMA kimeisambaratisha vibaya Chama cha Mapinduzi -CCM katika uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa uliofanyika leo katika mtaa wa Kingazi Kwembe Mbezi DSM
Katika matokeo yaliyotangazwa muda huu hapa kituoni Chadema kimepata ushindi wa kimbunga wa kura 500 huku CCM wakiambulia kura 180
Ushindi huu ni aibu kubwa kwa CCM iliyopiga kampeni kufa na kupona kwa kutumia wabunge na baadhi ya mawaziri.
Ni shangwe kuu zimetanda kila mahali huku mamia ya wananchi wakipeperusha bendera za Chadema.